Naanza safari ya kutafuta "Six Packs"

Naanza safari ya kutafuta "Six Packs"

Tafute hela ndugu yangu, hayo mengine ni mbwembwe tu za maisha.
Fanya mazoezi ya kujiwe physically fit sio kutafuta six pack kwa ajili ya kupata mademu.
Fwedha ndio mpango mzima hapa mjini.

Nakupa tano. Fedha ndio mpango mzima.
 
Hii inaonesha jinsi gani tutaendelea kuteketea na magnjwa ya kisukari ,pressure nk. watu hawapendi mazoezi.. na maisha yanazidi kuwa ya kizembe zaidi .watu wanatembea tu wanapo enda chooni.. kwani nini mishipa ya damu isigande?
 
Ndugu wana jamvi,
Baada ya kukaa na "kibelly" kwa miaka kadhaa na kuwa perceived kuwa chambichambi si haba sasa nimeona maslahi ya hii appearance hayalipi. Kila mchimba chumvi akija anaperception hapa shida zake zimekwisha, kisa eti "belly" is positively associated with chambichambi. Sasa nipo kwenye maandalizi rasmi ya kutengeneza izo 6 packs au hata kama 8 packs zipo ntazitengeza ili niondoe hii tasfiri lakini pia niweze kutafuna vile vikuku vilaini laini vinavyopenda packs. Ni njia gani rahisi ya kutoa hii kitu na kujenga hizi packs?
NB: Njia ya GYM naijua ila hiyo njia ni ndefu sana na inachosha

hata na mimi nampango huohuo, naonekana chambichambi zakutosha kumbe hamna kitu
 

Attachments

  • six_pack_coming_soon_black_t-shirt.jpg
    six_pack_coming_soon_black_t-shirt.jpg
    18.9 KB · Views: 128
Back
Top Bottom