Naanza safari ya kutafuta "Six Packs"

Naanza safari ya kutafuta "Six Packs"

Rafiki mkubwa wa wanawake ni pesa mangi sasa beba vyuma ukawe mlinzi..
sio wanawake wote wanaopenda pesa za wanaume wengine hawapendi hatakuziona ila ndio samaki mmoja akioza husemekana wote wameoza lakin ukiwachambua vizur utawapata wazima
 
Shaka ondoa bro, kuna wengine wana vitambi na minyama kibao, lakini wana 'watu' wao...kwa hiyo kama wa kwako anaridhika na ulichonacho hicho ndio cha msingi...
 
Ndio wewe huyo au umegoogle...
Nambe huyo siyo mimi, bali nimegoogle. Nikiweka ya kwangu nitakuwa kama nataka sifa. Garden love vs six packs ipi ina mvuto?
 
Last edited by a moderator:
six packs bila faranga haina maana, tutakula six packs? wewe njoo na city garden yako as long as una matunzo utapokelewa kwa mikono mitatu mmojawapo una kitobo
 
Eti zinc hizi sic pack zinaleta chakula mezani na ada ya watoto.? Walahi mi nikiona mwanaume kajaza mwili au katengeneza hayo masix paki attraction inakisha ghafla. Mwanaume anashinda gym simtaki chaaa ila haimanishi napenda vitambi. Kitambii big no.

Garden love je???!!!
 
Mbona mtu wa hivi ni hatari. Nyie wasichana mtakufa unatafuta jitu la hivi. Litakaa masaa hata matano kabla ya ...........Mhhh nyie watoto!

Babu Chua mzimaa.
Usishangae ndo kizazi kipya hichooo
 
Nambe huyo siyo mimi, bali nimegoogle. Nikiweka ya kwangu nitakuwa kama nataka sifa. Garden love vs six packs ipi ina mvuto?

Aisee mie hao sio mambo yangu kabisa...
Money is my six park and my Garden love.
Money is the true love of my life.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom