Naanza rasmi kufuatilia hiki kilevi...

Naanza rasmi kufuatilia hiki kilevi...

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,960
Gongo... hii ndio main objective na area of concetration katika likizo yangu hii ya miezi mitatu,

Najua wazi kabisa ni kinywaji/kilevi haramu kabisa, lakini bado kina impact katika micro economics,

Bado kuna watanzania wengi wanaishi kwa kutumia hiki kinywaji, watu wamesomeshwa mpaka ngazi ya vyuoni kwa hiki kinywaji...

Seriously, study yangu nitaifanya kwa watu wanaopika gongo katika maeneo ya ufichoni, hata kama ni kuonja nitaonja tu ili mradi nipate ninachokitaka...

Data nilizopata mtandaoni ni kwamba kuna wapikaji wengine wanatumia dawa za wanyama (mifugo ) katika uchanganyaji, jambo ambalo limepelekea vifo vya wanywa gongo kuongezeka,

Tatizo la mixing nalo linaonekana kuwakumba hawa watu, mchanganyiko hauko standard kiasi kwamba inaathiri sana watumiaji...

Huu ni mtambo ambao unatumika kutengeneza gongo kwa wasioufahamu.

mtambo.jpg

Hiyo ndio manufacturing industry, eneo nyeti kabisa ambalo linachukua sura nzima ya jinsi gongo inavyozalishwa, najua hii ni sample tu, kuna zaidi na zaidi ya mitambo inayotumika kuzalishia gongo..

Mgawanyiko wa bei nimeambiwa uko hivi,

kipimo cha chini ni Tshs 500/=

dumu la lita 20 linauzwa kwa bei mpaka shs 38,000/=

Iasemekana kuwa uzalishaji wa gongo unafikia mpaka lita 800 kwa siku kwa baadhi ya sehemu zenye mitambo minne kama nilioonesha hapo juu..

(that means total revenue inaweza kukimbilia mpaka 40x38,000/= sawa na Tshs 1,520,000) kutegemeana na inventory circulation na upatikanaji wa wateja...

EID NJEMA WAKUU... just a research!
 
Kama viroba, zanzi, banana (hii ni pombe ambayo ina kilevi 15% na inauzwa Tshs 400 tu!) na alcohols nyingine ziko valid, kwanini gongo isiwe standardized basi itengenezwe officially watu waongezewe kipato?

Kama ni ushuru tu, gongo ilipiwe!

regulation juu ya hii product zichukuliwe ikiwemo kuiweka katika standard ambayo haitomuumiza mtumiaji...

Maisha yameshatukaba wajameni, ajira zenyewe ndo hizo zimeingiliwa na mdudu wa undugu!...
 
Go ahead with the study Excel!Utengenezaji wa gongo ni eneo zuri la kuongeza maarifa kwenye mambo yafuatayo:
1. Gongo inayotengenezwa mtaani kwenye mitambo ya kienyeji ina kemikali zipi zenye hatari kwa wanywaji?
2. Je, unywaji gongo umeshamiri kiasi gani kwenye jamii yetu?(percentagewise)
3. Je, wanaojishughulisha na upikaji wa gongo wanaona hii ndiyo shughuli yao kuu ya kujipatia kipato?(eg compared to farming, animal husbandry etc)
4. Je, ipo njia rahisi ya kuondoa au kupunguza hizo sumu kwenye uandaaji wa gongo?
5.Hizo sumu zikiondolewa/kupunguzwa ladha/utamu wa gongo utapungua?
6. Wanywaji wataendelea kunywa gongo iliyopunguzwa sumu au wataacha?

Lengo la maswali 4-6 ni kufanya gongo ihalalishwe kama pombe nyingine za kienyeji eg mbege kimpumu nk.
na wapikaji kuwa huru kwa kujiongezea kipato.

This will be a very interesting and beneficial study Excel, so please don't look back!
 
Last edited by a moderator:

Ahsante mkuu, umenipa mwanangaza mzuri sana kwenye questionnaire, mawali haya nitayafanyia kazi,

Hii field ikiwa impressive, nadhani nitalifanyia kazi ikiwezekana nifanye presentation kwa wizara husika.

hii field inaonekana inawaongezea sana watu kipato, tatizo inaonekana na kutojua vyema katika suala zima la uchanganyaji wa kemikali na hivyo kupelekea kemikali kuwa nyingi sana kwenye kinywaji na kupelekea madhara kwa mtumiaji...

Mkuu ulishawahi kufuatilia jinsi coca cola ilivyoanza?.. Coke has an interesting story, nashangaa sana kwanini serikali inashindwa kulifanyia kazi hili suala la gongo!
 
Hebu anza na study ya Konyagi, ile siyo gongo kweli wameondoa sumu tu?? Coz nayo ni sterilized kama inavyokuwa gongo
 
Ahsante mkuu, umenipa mwanangaza mzuri sana kwenye questionnaire, mawali haya nitayafanyia kazi,

Hii field ikiwa impressive, nadhani nitalifanyia kazi ikiwezekana nifanye presentation kwa wizara husika.

hii field inaonekana inawaongezea sana watu kipato, tatizo inaonekana na kutojua vyema katika suala zima la uchanganyaji wa kemikali na hivyo kupelekea kemikali kuwa nyingi sana kwenye kinywaji na kupelekea madhara kwa mtumiaji...

Mkuu ulishawahi kufuatilia jinsi coca cola ilivyoanza?.. Coke has an interesting story, nashangaa sana kwanini serikali inashindwa kulifanyia kazi hili suala la gongo!
Serikali ni watu - mawaziri na watendaji wa aizara. Hawa watu kwa hapa Tanzania hawawezi kufanya kitu ambacho kitawasaidia watu bila wao kufaidika kwa namna yoyote ile. Swala la gongo kwa mfano ni swala la ubunifu tu. Nenda SIDO au idara ya chemical engineering ya udsm omba kutengenezewa kamtambo ka kuchuja/kusafisha gongo,agiza wapika gongo wote watumie huo mtambo. Hakuna mtendaji wa wizara aliye tayari kuhangaikia hili jambo kwa sababu hakuna 10%
 
Back
Top Bottom