Naanza maisha upya...au siyo

Naanza maisha upya...au siyo

Kwenye sex hapo hapana, unajidanganya. Mengine yote hayo yanawezekana kwakua toka nimeanza mwaka jana, hiyo ndio life style yangu so najua hata wengine wengi wanaishi hivyo
DAILY
Naamka saa 10 kamili alfajiri.
Nasoma bible au kitabu kingine
Naingia gym kwa dakika 45(mimi sitting rum ndio gym yangu ilipo)
Naandaa maj moto ya kuoga na breakfast
Napata kifungua kinywa.
Naingia kuoga na kuswaki
Nafanya ibada for 30 minutes
Ndio natoka nje kuianza siku saa 12 na Nusu
Saa 12 jioni back to gym

Manzi lazima nikaze japo mara moja kwa wiki mbili.
 
Haya maisha ya kuishi ki huni huni hayana maana.

Nitafanya ibada saana,

Fanya mazoezi sanaa.

Ongeza muda wakulala.

No fegi...no kilevi chochote.

Kunywa maji kwa wingi.

NO SExiiii

WATU:...eeeeeehh!! we mzee toka apa acha fixii
Nakuunga mkono kabisa nzalendo hapo kwenye ibada nimepapenda sana! wish you all the best...
 
Kwenye sex hapo hapana, unajidanganya. Mengine yote hayo yanawezekana kwakua toka nimeanza mwaka jana, hiyo ndio life style yangu so najua hata wengine wengi wanaishi hivyo
DAILY
Naamka saa 10 kamili alfajiri.
Nasoma bible au kitabu kingine
Naingia gym kwa dakika 45(mimi sitting rum ndio gym yangu ilipo)
Naandaa maj moto ya kuoga na breakfast
Napata kifungua kinywa.
Naingia kuoga na kuswaki
Nafanya ibada for 30 minutes
Ndio natoka nje kuianza siku saa 12 na Nusu
Saa 12 jioni back to gym

Manzi lazima nikaze japo mara moja kwa wiki mbili.
Hongera sana mkuu... ila hapo kwa manzi sijapapenda! Halafu unaamka saa 10 kwani unalala sasa ngap mkuu
 
Kwenye sex hapo hapana, unajidanganya. Mengine yote hayo yanawezekana kwakua toka nimeanza mwaka jana, hiyo ndio life style yangu so najua hata wengine wengi wanaishi hivyo
DAILY
Naamka saa 10 kamili alfajiri.
Nasoma bible au kitabu kingine
Naingia gym kwa dakika 45(mimi sitting rum ndio gym yangu ilipo)
Naandaa maj moto ya kuoga na breakfast
Napata kifungua kinywa.
Naingia kuoga na kuswaki
Nafanya ibada for 30 minutes
Ndio natoka nje kuianza siku saa 12 na Nusu
Saa 12 jioni back to gym

Manzi lazima nikaze japo mara moja kwa wiki mbili.
Wala sio Lazima..
Basi tu ushajiwekea huwezi kuacha..
 
Sawa, ila hata wewe kwenye maji ya moto kuoga hapo hapana inatakiwa iwe cold shower ili kuondoa vitu fulani fulani rejea namna ya kujenga mental toughness japo wewe si kama utaenda mazingira kama vitani au yenye mazingira magumu yatakayo hitaji kufanya maamuzi sahihi kwenye pressure kubwa ila inajenga kuondoa comfortability.
 
Back
Top Bottom