Naanza maisha upya...au siyo

Naanza maisha upya...au siyo

Sawa, ila hata wewe kwenye maji ya moto kuoga hapo hapana inatakiwa iwe cold shower ili kuondoa vitu fulani fulani rejea namna ya kujenga mental toughness japo wewe si kama utaenda mazingira kama vitani au yenye mazingira magumu yatakayo hitaji kufanya maamuzi sahihi kwenye pressure kubwa ila inajenga kuondoa comfortability.
Unaweza ukawa sahihi lakini
Kwa mtu anayefanya weight workout kitaalum sitakiwi kuoga maji ya baridi baada ya mazoezi
 
Ukifanya kwa ajili yako utaweza, ukihitaji approval za watu ni lazma wakuwekee limits na weaknesses zao kwenye maamuzi yako.

Kama unaamini hiyo ndio lifestyle itakupa furaha zaidi, huitaji maoni ya watu labda kama hujiamini
 
Back
Top Bottom