Uko mjini au kijijin...Mimi nalala saa tatu mpaka nne kasoro usiku. Kuna nyakat ninapokua sina mambi mengi sana saa 2 usiku inaweza nikuta kitandani tayari
Hapana mkuu umenichanganya, maana kuna uncle yangu anapenda sana sigara kabla ya kupiga kazi, ndio maana nikaulizaMtumishi kweli huelewi ama unaleta kizaazaa?
Yes kama anakata magogo ya miti inampa stimu/motisha ya kazi.. ila nilimaanisha kujisaidiaHapana mkuu umenichanganya, maana kuna uncle yangu anapenda sana sigara kabla ya kupiga kazi, ndio maana nikauliza
Oooh! sawa mkuu nimekupata.Yes kama anakata magogo ya miti inampa stimu/motisha ya kazi.. ila nilimaanisha kujisaidia
MjiiniUko mjini au kijijin...
Hapana mazingira yangu nikiwa mzembe naweza kaa hata mwezi bila hilo suala.Anza mdogo mdogo kwa ratiba yako ilivyo, inawezekana kwa asilimia kubwa, or else uko surrounded na vishawiahi sana!
Kaza mkuuHapana mazingira yangu nikiwa mzembe naweza kaa hata mwezi bila hilo suala.
Ahahahah.Kaza mkuu
Sahihi kabisa ila maana yangu kubwa sana si baada ya kumaliza mazoezi immediately ukaoge maji ya baridi.Unaweza ukawa sahihi lakini
Kwa mtu anayefanya weight workout kitaalum sitakiwi kuoga maji ya baridi baada ya mazoezi
Hii ni sahihi kabisa naikubali kama ulivyoanza ndivyo unavyomaliza. Ubongo wetu wa kipuuzi sana.Ukiona imeshindikana kufanya siri kupambana na mambo ambayo ulianza na kuyaishi kwa siri na kuja kujikomit kwa kutangaza mapambano.
Jua mpambano ulio ndani yako Umekushika na huchomoki.
Yeahhhh...ahahahahahSahihi kabisa ila maana yangu kubwa sana si baada ya kumaliza mazoezi immediately ukaoge maji ya baridi.
Unakata body nini ma biceps na tri?
Ukikaza inawezekana, sio msosi huo!Ahahahah.
Hapana, nimekataa. Hiyo human need
Aaahhh hapana. Nina afya njema kaka. Unataka nipate changamoto ya afya ya akili? Au masuala ya vijana kujichukulia sheria mkononiUkikaza inawezekana, sio msosi huo!
Nani alipata changamoto ya afya ya akili kisa kukosa sex? Wanaofanya celibacy mbona wanaishi tu? Mindset tu wala hakuna kitakachokupata!Aaahhh hapana. Nina afya njema kaka. Unataka nipate changamoto ya afya ya akili? Au masuala ya vijana kujichukulia sheria mkononi
Manzi muhimu ila kwa wiki mbili inabidi uichape vilivyoKwenye sex hapo hapana, unajidanganya. Mengine yote hayo yanawezekana kwakua toka nimeanza mwaka jana, hiyo ndio life style yangu so najua hata wengine wengi wanaishi hivyo
DAILY
Naamka saa 10 kamili alfajiri.
Nasoma bible au kitabu kingine
Naingia gym kwa dakika 45(mimi sitting rum ndio gym yangu ilipo)
Naandaa maj moto ya kuoga na breakfast
Napata kifungua kinywa.
Naingia kuoga na kuswaki
Nafanya ibada for 30 minutes
Ndio natoka nje kuianza siku saa 12 na Nusu
Saa 12 jioni back to gym
Manzi lazima nikaze japo mara moja kwa wiki mbili.
Daahh!! Ila siwez niwe mkweliNani alipata changamoto ya afya ya akili kisa kukosa sex? Wanaofanya celibacy mbona wanaishi tu? Mindset tu wala hakuna kitakachokupata!
HaswaaaaaaaaManzi muhimu ila kwa wiki mbili inabidi uichape vilivyo
Pole tafuta mmoja tu kujiepishia mengi!Daahh!! Ila siwez niwe mkweli