Naanza maisha mapya na mtu mpya

Naanza maisha mapya na mtu mpya

wafuasi wa manabii huwa mnajiona sana ndo shida yenu .heri yako wewe malaika ambae huna dhambi .mimi nishaharibu sana namshukuru Mungu kanipa second chance so?
Vipi boss wako anayejua enzini yako?? Hauendi kusoma tena..?[emoji41] [emoji41] [emoji41]

Kosa lingine ulisha tangaza mchagga kosa la kiufundi muulize misschagga alikosa ndoa kwangu sababu ya mama yake...[emoji23] [emoji23] [emoji120]
 
sasa tuone mimi na wewe nani ataanza kuwa na ndoa .na ukicheza ndoa utasikia tu kwa wenzako .
watu kama wewe tunawajua sana.
 
Vipi boss wako anayejua enzini yako?? Hauendi kusoma tena..?[emoji41] [emoji41] [emoji41]

Kosa lingine ulisha tangaza mchagga kosa la kiufundi muulize misschagga alikosa ndoa kwangu sababu ya mama yake...[emoji23] [emoji23] [emoji120]
kuhusu kusoma unajua niko wapi hapa?
 
Mnuka vumbi ...by.. NYANINGABU.[emoji41] [emoji41] [emoji41]
mwanaume ukiwa na wivu wa maendeleo utakufa siku si zako mkuu?
pole sana
ila ndo hvo Mungu anatoa bila hata kumpa chochote anatoa hata kwa unaoona hawastahili so what?
funga siku arobaini umzuie asinibariki am so hapy yaani ungejua ni zali gani limenifumkia sijui ungeandika nini yaani
 
Aiseeh all the best sisteri[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
mwanaume ukiwa na wivu wa maendeleo utakufa siku si zako mkuu?
pole sana
ila ndo hvo Mungu anatoa bila hata kumpa chochote anatoa hata kwa unaoona hawastahili so what?
funga siku arobaini umzuie asinibariki am so hapy yaani ungejua ni zali gani limenifumkia sijui ungeandika nini yaani
Wivu gani tena[emoji23] [emoji23]
Usije niambia nakuonea wivu usipate mchepuko[emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji51]
Siyo wewe juzi kati unajitapa sihitaji mtu niko na furaha[emoji15] [emoji15] naona labda mchepuko ils mume humu hupati ng'ooo.

Iko adhabu ya msichana mwenye ya tabia mbaya ni kuolewa kijiji cha mbali[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nyie wanauke wa jf mnatoa mashart ya hatar mnanitenga kinoma,,kuna mmoja anaitwa winn humu kataka mweupe mrefu,wewe unataka miaka 35+ duh...
 
Back
Top Bottom