Naanza maisha mapya na mtu mpya

Naanza maisha mapya na mtu mpya

Jana nilizaliwa yani nina furaha isiyoelezeka siwezi elezea hyo story ila i wish ningekuwa na mtu truth worth tukae mahali tusherekee leo jioni bill zote kwangu maana mkipigwa mizinga mnaliiia sana kaka zetu.

Nilishafanya makosa makubwa sana huko nyuma, ila Mungu yupo anasamehe hata mimi nimejisamehe hata wote walionikosea nimewasamehe na niliowakosea hata kama sijawafata kuomba wanisamehe nimeamini wamenisamehe natamani nisirudie tena makosa ila mimi ni mwanadamu tumeumbwa kukosea ila nitajitahidi sana kuwa mtu mwema.

Naombeni marafiki zangu hapa mniombee baraka katika maisha haya mapya mwezi wa kumi nitakuja kutafuta mpenzi huku najipanga kwanza, maana mahusiano inatakiwa uwe na muda nayo sio sehemu ya kuchezea kama unajijua una miaka 35-90 mwezi wa kumi nitafute kwa urafiki usio na mashaka ila usiwe na mke /mtalaka tafadhali labda mke awe amefariki.
Ok!!kabla sijakutongoza njoo nikuonyeshe rasilimali zangu zote alafu uamue mwenyewe je!!!nakufaaa!!
 
Jana nilizaliwa yani nina furaha isiyoelezeka siwezi elezea hyo story ila i wish ningekuwa na mtu truth worth tukae mahali tusherekee leo jioni bill zote kwangu maana mkipigwa mizinga mnaliiia sana kaka zetu.

Nilishafanya makosa makubwa sana huko nyuma, ila Mungu yupo anasamehe hata mimi nimejisamehe hata wote walionikosea nimewasamehe na niliowakosea hata kama sijawafata kuomba wanisamehe nimeamini wamenisamehe natamani nisirudie tena makosa ila mimi ni mwanadamu tumeumbwa kukosea ila nitajitahidi sana kuwa mtu mwema.

Naombeni marafiki zangu hapa mniombee baraka katika maisha haya mapya mwezi wa kumi nitakuja kutafuta mpenzi huku najipanga kwanza, maana mahusiano inatakiwa uwe na muda nayo sio sehemu ya kuchezea kama unajijua una miaka 35-90 mwezi wa kumi nitafute kwa urafiki usio na mashaka ila usiwe na mke /mtalaka tafadhali labda mke awe amefariki.
Samaki mkunje angali mbichi.
Nitakutafuta 10/10/2050
Ngoja Kwanzaa nakula raha na totoz za ukweli
Watoto wabichi.
Wewe mkavuu ntakutafuna uzeeni
Kiulaini bila masharti Tena bureeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom