mti wa ajabu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 449
- 368
Nakupenda,huwa nachekaga san na thread zko
Hahahah weweToka nimeanza kusoma thread zako, zote ni za kutafuta tu.
Hupatagi??? Au ndo mtafutaji hachoki.
Huyu anafaa itwa Mrs drama!Aisee vijana na wazee wa Jf wakutane na haja ya moyo wako. Jina libadilike from "miss natafuta" to "Mrs nimepata"
ahahaa kazingua bnaHongera mkuu kwa furaha bubu uliyonayo,
Ivi yule m'babu wa juzi kati na ukatupia na kapicha hapa nae kazingua!!?
Haaaahaaaahaaaaa!,Love Star Search.Jana nilizaliwa yani nina furaha isiyoelezeka siwezi elezea hyo story ila i wish ningekuwa na mtu truth worth tukae mahali tusherekee leo jioni bill zote kwangu maana mkipigwa mizinga mnaliiia sana kaka zetu.
Nilishafanya makosa makubwa sana huko nyuma, ila Mungu yupo anasamehe hata mimi nimejisamehe hata wote walionikosea nimewasamehe na niliowakosea hata kama sijawafata kuomba wanisamehe nimeamini wamenisamehe natamani nisirudie tena makosa ila mimi ni mwanadamu tumeumbwa kukosea ila nitajitahidi sana kuwa mtu mwema.
Naombeni marafiki zangu hapa mniombee baraka katika maisha haya mapya mwezi wa kumi nitakuja kutafuta mpenzi huku najipanga kwanza, maana mahusiano inatakiwa uwe na muda nayo sio sehemu ya kuchezea kama unajijua una miaka 35-90 mwezi wa kumi nitafute kwa urafiki usio na mashaka ila usiwe na mke /mtalaka tafadhali labda mke awe amefariki.
wait octoberMm pia natafuta wife, but she has to be mweupe, mrefu au mrefu wastani, awe na tako...!!
Gauge urself..!!
ahahaa sijui umewaza nini?Haaaahaaaahaaaaa!,Love Star Search.
wait october
ndo nitakuwa na muda na mapenzi kila kitu ninachoOctober ndio utakuwa na sifa hizo..? Mweupe, mrefu alafu ta.ko lazima.. kama huna wala usinijibu..!!
...mapenzi kwako yanakuja kwa mwezi na msimu [emoji1] [emoji1]..., yakija September hayana nafasi till October... Wacha niendelee kuobserve hii searchndo nitakuwa na muda na mapenzi kila kitu ninacho