Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,439
- 3,199
Kama una miaka chini ya 45 na hujajipata vzr, bc achana na mwanamke mwenye mtoto.Kuna single mother mmoja nimemwelewa.nikasema ngoja nipendane naye sababu ana roho nzuri n.k.
Ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto ananyonya vidole na anadeka sana. Mimi kwa kweli sipendi mtoto anyonye vidole. Nimejaribu sana kumwambia amkataze mtoto kunyonya vidole. Anasema aataacha tu mwenyewe.
Kila siku akipiga picha ananiambia "mwanao anakusalimia" anatuma picha yupo na mtoto ananyonya vidole. Mi inanitia tu hasira na mchafuko wa moyo. Mtoto wa kiume miaka mitano 24x7 ananyonya vidole huo si ubwege? Mamaye anaona sawa tu.
Je nifanyeje kumsaidia huyu dada maana naanza kupoteza interest naye sabab hiyo tu. SIPENDI MTOTO ANAYENYONYA VIDOLE. Mkisema sina upendo kwa watoto semeni tu ila huo ndo ukweli wangu. Sipendi mtoto anyonye vidole.
Ngumu aiseeeeeeWahenga walisema
Ukipenda ua penda na Boga lake
Kuna single mother mmoja nimemwelewa.nikasema ngoja nipendane naye sababu ana roho nzuri n.k.
Ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto ananyonya vidole na anadeka sana. Mimi kwa kweli sipendi mtoto anyonye vidole. Nimejaribu sana kumwambia amkataze mtoto kunyonya vidole. Anasema aataacha tu mwenyewe.
Kila siku akipiga picha ananiambia "mwanao anakusalimia" anatuma picha yupo na mtoto ananyonya vidole. Mi inanitia tu hasira na mchafuko wa moyo. Mtoto wa kiume miaka mitano 24x7 ananyonya vidole huo si ubwege? Mamaye anaona sawa tu.
Je nifanyeje kumsaidia huyu dada maana naanza kupoteza interest naye sabab hiyo tu. SIPENDI MTOTO ANAYENYONYA VIDOLE. Mkisema sina upendo kwa watoto semeni tu ila huo ndo ukweli wangu. Sipendi mtoto anyonye vidole.
Mwanao mnyonya vidole anakusalimia😂😂. Kwani huyo dogo unaishi naye nyumba moja au unampango wa kuishi nao?Kuna single mother mmoja nimemwelewa.nikasema ngoja nipendane naye sababu ana roho nzuri n.k.
Ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto ananyonya vidole na anadeka sana. Mimi kwa kweli sipendi mtoto anyonye vidole. Nimejaribu sana kumwambia amkataze mtoto kunyonya vidole. Anasema aataacha tu mwenyewe.
Kila siku akipiga picha ananiambia "mwanao anakusalimia" anatuma picha yupo na mtoto ananyonya vidole. Mi inanitia tu hasira na mchafuko wa moyo. Mtoto wa kiume miaka mitano 24x7 ananyonya vidole huo si ubwege? Mamaye anaona sawa tu.
Je nifanyeje kumsaidia huyu dada maana naanza kupoteza interest naye sabab hiyo tu. SIPENDI MTOTO ANAYENYONYA VIDOLE. Mkisema sina upendo kwa watoto semeni tu ila huo ndo ukweli wangu. Sipendi mtoto anyonye vidole.
Tangu umpe yule binti mimba umekimbia mazima kumbuka malipo ni hapa hapa chini ya juaNiliona kama singo maza wamepumzishwa, kumbe waaapi
Wakina junior ukiwaambia stop, don't do this hawaelewi. Mfundishe kiume hata kwa kufanya nae kazi za mikono kisha unampiga mkwala ukishika vitu vingine hakuna kuweka vidole mdomoni ni uchafuNgumu aiseeeeee
Mwache Dada wa watu mjinga wewe
Ngumu aiseeeeeeWahenga walisema
Ukipenda ua penda na Boga lake
Dada tuliza mshono...Mwache Dada wa watu mjinga wewe
Kama ni mtoto wake asiseme "mwanao anakusalimia na kupiga picha wote" matter call you.Kwani icho kidole chake ndo kinakupa utamu ama ndo kinakunyima utamu me naona wewe ndo unautoto mwingi kama mama ake anakulidhisha vizuri mambo ya mtoto wake yanakuhusu nini
Chizi Maarifa pumzika