Naanza kuona dalili ya serikali ya mseto

Serikali ya Mseto itakuwepo maana Itaundwa na UKAWA... CCM watakuwa wapinzani, wataunda kambi ya Upinzani pamoja na ACT, TLP
 

NO;Ukawa jumlisha vyote kuteua waziri mkuu maana lazima wanaofanana wawe upande mmoja; ccm unless ivuke 51 kuwa na command majority hata kwa ukawa; wasipovuka na hivyio total ya ukawa ikawa mbele basi wamekwisha waziri atatokana na chama kikubwa nadani ya ukawa na ukawa wote watakuwa sehem ya serrikali ya mseto huku CCM na ACT may be wakiwa wapinzani
 
Mnajipa moyo nyie mafisadi..mshaona kichapo kipo mlangoni sasa mnakimbilia mseto..hakuna cha mseto hapa
 

mkuu nashukuru kwa kuelewesha watu kwa undani zaidi. Kibaya zaidi Mh Lowassa alishajiandaa kuwa rais, ndani/nje ya CCM. Hana la kupoteza hata kama baraza lake lote akishinikizwa na ccm robo tatu wawe wao, ataridhia ili adhima ya kuwa raisi wa nchi itimie

Mseto hautaishia kwenye serikali tu. Kwa kuwa CCM ndio watakuwa wengi basi bungeni dhahiri wao ndio watatoa speaker wa bunge. Tutashuhudia kituko cha mwaka bungeni, chama tawala kutoka bungeni na kuacha wapinzani ndani

Binafsi nawaona UKAWA hasa CDM wakiwa bora zaidi kama wapinzani kuliko ndani ya serikali ya mseto
 
Last edited by a moderator:
Mimi naona unachosema ni kama unachotaka kiwe baada ya upande wako kuelemewa. Mimi binafsi nina uhakika hakuna serikali ya mseto kwa sababu wabunge wengi ni wa UKAWA kulingana na hamasa ya kuindoa CCM madarakani.

Mkuu usijidanganye hamasa ipo katika level ya urais tu na hiyo ni kwa sababu ya yeye EL kama yeye na sio nguvu ya UKAWA. Alafu unakiwa ujue PM atatoka kwenye chama chenye wabunge wengi na sio UKAWA

Kwa hamasa na mvuto alionao EL angeweza toa changamoto hata kama angeenda CHAUMA.Na lengo lake kuu ni kushinda urais basi hata kama atapata PM kutoka CCM
 
Lowassa hawezi kushinda hata asilimia 20. Hakuna mseto. Magufuli ataunda serikali yake isiyo na virus
 

kojoa ulale usije ukachelewa lumumba kesho
 

Hili fisafi linatisha kweli kweli kwetu makambako ni ccm lakin limebaduli upepo haijawah tokea hili limamvi inabidi nilipigie kura tu dah fisadi hili ni tabu kweli kweli
 
sijui nyinyi ukawa akili yenu ikoje! mnafikiri watanzania watachagua mtu kwa sura yake au kwa kupendeza, au kwa kutabiriwa na walokole gwajima et al. gwajima et al kwanza si lolote ila wapigaji wakubwa. hapa hakuna mseto ukawa wanapigwa chini flat. ukawa haina moral authority ila wsnatumia mizungu na mazingaumbwe. bahati nzuri ccm wameiva kila idara.
 
Hili fisafi linatisha kweli kweli kwetu makambako ni ccm lakin limebaduli upepo haijawah tokea hili limamvi inabidi nilipigie kura tu dah fisadi hili ni tabu kweli kweli

#ccm will win for large percentage#viva ccm#viva magufuli#
 
Lowassa kushinda, hilo halina ubishi. Zitto ataungana na Slaa na Lipumba kwenye chama cha ACT. Wasiwasi wangu hiyo combination sijui itazaa nini? maana wote ni watata.
Zitto, slaa na lipumbav hawawezi kukaa pamoja bila shida... Too much ego
 
Khekhekhekheeeheee... Kula malimao
 

haa haa nakumbuka mwaka 2005 watanzania walidanganyika na sura ya jk....
 
uko sawa mkuu lakini kabla ya kuwepo selikari ya mseto kutakuwa na machafuko kwa takribani mikoa saba,ukianza na dar!

Mseto hautakua kati ya ukawa na ccm bali kati ya ukawa na act au ccm na act !
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…