shame on you too.WATANZANIA ANAKURUPUKA SANA,NA UKITAKA KUJUA WEWE MTAZAME MLETA AMEKURUPUKA KURUPUKA.....WEWE MWENZIO AMESEMA MUNGU WAKE ANAMJIBU WAKATI WOWOTE SASA KINACHOKUUMA NIN?AMETAMKA WAPI DEVIL NDO MUNGU WAKE?HUWA MNATAFUTA ATTENTION ZA AJABU SANA,MIND YOUR OWN BUSINESS,HATA KAMA AABUDU KICHWA....INAKUUMA NINI..?shame on you MLETA MADA
HAYA BHNA,shame on you too.
umeshindwa kujua kinachozungumziwa hapa??!
basi tuambie Mungu wenu ni yupi
Kuna baadhi ya watu hampotezi kumbu kumbuBila shaka Nay na huyo Mungu wake wamejuana miaka ya hivi karibuni, maana huko nyuma alisimulia mwenyewe alivyokuwa akiishi maisha ya dhiki mpaka ikafikia kulala saloon kwa mshkaji baada ya kutimuliwa na step father wake achilia mbali alivyokataliwa ukweni na kumuacha demu wake wa kiarabu akiolewa. Hata huyu Mungu wake wa sasa ameshindwa kumrudisha Siwema