Naamini mume wangu nitampata kupitia jf

My dia 24 unataka kuolewa...aiseeeeeeeee :A S 13::A S 13:
Fanya kwanza pilika zako mi nahisi ni mapema mnooo .....utazeeka kabla ya muda...
yani mi nikiwa miaka 24 nilikuwa nawaza kitu cha kunifikisha mbali kimaisha,wewe unawaza ndoa,Fikiria vizuri nahisi umekurupuka
 

Dada we mbaguzi!
 

Yaani wewe ndo chenga kweli, unamuongopea mwenzako azeeke kama wewe bila ndoa? Kila mtu ana mipango yake, na haiwezi kufanana... Acha kumwingiza chaka mwrnzio!
 

inamuwasha na hataki ionjwe onjwe
 
Nilivyomuelewa ni kwamba alikuwa na mume, wakaachana, sasa anamtafuta huko alipo kupitia JF, na kwa kuwa si rahisi kuweka jina lake halisi humu, ameamua aweke wasifu wake mfupi kama vile umri wake, mwaka aliomaliza chuo, kabila lake na kabila la huyo mume wake! Jamaa, jitokeze umrudie mkeo wa zamani!
 
Huku wasanii ni wengi . Angalia usijetolewa bikir a ukabaki unalia na moyo wako
 
Wasichana wa hapa wengi wamefeli kwenye hiyo idara..wamekataa tamaa..wana negative thought kuhusu ndoa..so uwe makini watakukatisha tamaa sana
 

bahati ya wazi hii..
ila kwa bahati tayari ninae mke wangu 'Valentina'
 
Last edited by a moderator:
'No chasaka',nimekuelewa sana,kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…