masterjuly77
JF-Expert Member
- Jun 29, 2009
- 221
- 173
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.
Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.
Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"
Huyo Mama Sidhani Kama Alitegemea Kulishwa Au Kuvishwa Na Lemaa... Cha Msingi Ajifahmu Kuwa Hakuna Mwanasiasa Atakayemsaidia Personally....