kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.
Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.
Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"
Vipi huyo mama kabla ya Lema alikuwa anafanya shughuli gani?