Naamini maneno ya mh. Lowassa, CHADEMA Arusha itabaki historia

Wananchi wa Arusha wengi wetu hatutaki hata kuisikia CHADEMA. Tunasubiri Uchaguzi uje tuwape 'haki' yao!

Mlishindwa kupata haki yenu hata mahakani kwasababu haki ilikuwa ya wananchi.
Hivi batilda atapindua tena rchuga?
Maana mkula akisepa na yeye ubalozi chali
 
Wananchi wa Arusha wengi wetu hatutaki hata kuisikia CHADEMA. Tunasubiri Uchaguzi uje tuwape 'haki' yao!

Kwwli mh.Lema kayashika magamba pabaya hahaha hahaha
Uzuri wa mh.lema magamba hayampi shida sababu anajuwa ku deal na magamba vizuri mno. ..na magamba yanalitambua hilo.
 
Haa haa, kwa haya yanayoendelea kwenye bunge la katiba, nitashangaa sana kama wana Arusha wataiunga mkono ccm mwaka 2015!
 
Lema hajawahi kuwa na akili nzuri ya kuongoza watu na kuwaletea maendeleo ni mtu wa ajabu sana hajitambui kabisa.

Naomba unitajie wale wenye uwezo mzuri wa kuongoza na walioleta maendeleo kwa watanzani,
Note: Asiwe fisadi lakin?
Vinginevyo akili zako sawa na za bata au nyumbu wa creta
 
Mh hapa mada inabadilishwa wakuu, picha za mkutano iliboru stand zimeshindikana?
 
kwahiyo ulitegemea Lema akupe Mtaji Uuze Madini?......
jaribu kutumia kichwa kufikiri, hao ccm zaidi ya miaka 50 wapo madarakani wameshindwa kunoresha maisha ya watanzania na ndio maana wazazi wako walishindwa kukupeleka shule nzuri, mwisho umeishia kuuza ndizi.
 
Tuendelee tu kuchati nao ili waingize siku tusijekuwakosesha ujira wao. Wanatia huruma sana. Mimi ni mkazi og wa Arusha naelewa kinachoendelea. Ccm imebaki mahame
 
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

Akichagua CCM watoto wake wataenda shule za maana? Huyo ni kichwa maji kama wewe tu. Tatizo shule, CCM walipora akili na ndo maana wanapata nafasi ya kuwadanganya kwa khanga na kofia, hamna kitu vichwani mwao.
 
Tuendelee tu kuchati nao ili waingize siku tusijekuwakosesha ujira wao. Wanatia huruma sana. Mimi ni mkazi og wa Arusha naelewa kinachoendelea. Ccm imebaki mahame

Hahaha wanabakia kuwasemea wana arusha. ..magamba arusha hawana chao Qushney!
 
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"
Kwa vile hao wa CCM mnauza nao ndizi, mnapigwa nao mabomu, mnalima nao mashambani na huwa hawasomeshi hawajengi majumba hawana maisha mazuri...upuuuzi mkubwa!
 
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"
Hii thread yako ni ya kutafutia posho na si vinginevyo Heading na ulichokiwasilisha haviendani kabisa na huyo mama uliyemnukuu hapo naona ni Mkeo kwani kwa wenye akili za kawaida hakuna mwenye uelewa mdogo kama huo.
 
Back
Top Bottom