Naamini maneno ya mh. Lowassa, CHADEMA Arusha itabaki historia

Naamini maneno ya mh. Lowassa, CHADEMA Arusha itabaki historia

kwahiyo ulitegemea Lema akupe Mtaji Uuze Madini?......
jaribu kutumia kichwa kufikiri, hao ccm zaidi ya miaka 50 wapo madarakani wameshindwa kunoresha maisha ya watanzania na ndio maana wazazi wako walishindwa kukupeleka shule nzuri, mwisho umeishia kuuza ndizi.

dawa yenu ndogo sana nyie

utaifakwanza
 
Last edited by a moderator:
Hii thread yako ni ya kutafutia posho na si vinginevyo Heading na ulichokiwasilisha haviendani kabisa na huyo mama uliyemnukuu hapo naona ni Mkeo kwani kwa wenye akili za kawaida hakuna mwenye uelewa mdogo kama huo.

Magamba Qushney wanajua kutunga uongo...
 
Lema kasababisha uchumi wa arusha umeshuka sana kwa mavurugu yake
Wale waliokamatwa na Mabomu na Tindikali kuna MwanaCHADEMA? na vipi ile kesi imefikia wapi hadi sasa? Mnawapa vijana Mabomu na kujifanya kuwakamata nayo ili kukwepesha ukweli juu ya udhalimu wenu wa mauaji.
 
Mwigamba tulikuwa naye kwenye M4C tukagundua anatoboa meli tukampa red card. Juzi tumefanya uchaguzi wa viongozi mwendo mdundo. Makada kama Mulongo na mtoto wa aliyekuwa mbunge wa Ukerewe ambaye ni DC wanatumia ubabe huku chura akisonga mbele. Kumbuka ukerewe tulichukua na hawa watoto ni ukoo tu wa panya.
 
Liana Sipora alitoa mapato ya jiji toka takriba 400m mpaka 900m kwa mwezi kwa kuzuia ufisadi wa kina Mulongo na wakubwa wake na wafanyabiashara wakubwa wa Arusha. Sasa wamefanikiwa kumpaki makao makuu Tamisemi mapato yamerudi kulekule. Kama hujui kaa kmya
 
.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

Wangemchagua Batilda ambaye anaishi nyumba ya kupanga Ngarenaro, anapanda Daladala na watoto wake wanasoma Kayumba primary
 
Mlishindwa kupata haki yenu hata mahakani kwasababu haki ilikuwa ya wananchi.
Hivi batilda atapindua tena rchuga?
Maana mkula akisepa na yeye ubalozi chali

Ushavuta msokoto nini? Mbona unaongea vitu havieleweki?
 
Arusha hakuna kulala mpaka lema ang'oke. Anatuharibia jiji letu
 
Mnaanza fichua unafiki wenyu. Kumbe wingi wa watu ktk mikutano ya cdm kilikuwa kipimo sahihi cha kupendwa. Pia mnaharalisha mbinu yenu chafu ya kulipua mabomu ktk mikutano maana hamkuipenda.

Kwa kukuwa tulijua mbinu zebnu chafu; tutawasubili sanduku la kura 2015!
 
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

Iliboru ni Arumeru ila kwa Arusha CCM mnajifariji tu tena mtakosa hata madiwani mwaka 2015subiri mtaona
 
Wamekataa kuweka picha za mkutano wa chdm basi ngoja tuwasaidie:

wheelbarrow_ambulance_harare.jpg images.jpg wodizetu.jpg

Haya ndo maisha bora mliyowaahidi wananchi - Chama cha mafisi
 
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

Sasa kama unajua kulikuwa na mkutano na haukuwa na mahudhirio makubwa kama unavyodai kwanini usiweke hiyo picha unayotaka uwekewe. Nani akuwekee wakati wewe unasema ulikuwa kwenye huo mkutano? Huu nao ni utaahira wa kiCCM.
 
Back
Top Bottom