Naamini maneno ya mh. Lowassa, CHADEMA Arusha itabaki historia

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"
 
Lema kasababisha uchumi wa arusha umeshuka sana kwa mavurugu yake
 
Teh teh endelea kujipa moyo hivyo hivyo. Hutaamini kitakachotokea ccm arusha hatutaki hata kuwasikia.. kwa bunge la katiba mmemshika kipofu mkono

mkuu dalili za mvua mawingu! Tupe updates za mkutano Iboru-Stand leo.
 
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

ccm bna.mnnafanya kila wawezalo kumgonganisha lowassa na wapinzani lakin kila mkijarib tu mnaangukia pua,swaga ya lowassa na mbatia imeshachuja,ya act nayo imechuja,sasahiv mmekuja na ya lema,na bado lowassa atawapakata sna
 
Chadema itaendelea kuwa historia kwenye mioyo ya wananchi wa Arusha .......Naunga mkono hoja .
 
Wakuu, naomba mwenye hizo picha za mkutano Iboru-Stand aturushie, tusiongee tu kwa maneno.
Angalizo zisiwe picha zile za zamani
 
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

Umenena hakika. CDM imechoka na inakufa kabla ya kumkomboa mtanzania.

Hii ni kwa sababu ya chama kukosa misingi imara na kujengwa juu ya unafiki, uongo na ukanda.
 
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

Acha Kujipa Moyo Wewe,ccm Ilishakufa Arusha
 
Wakuu, naomba mwenye hizo picha za mkutano Iboru-Stand aturushie, tusiongee tu kwa maneno.
Angalizo zisiwe picha zile za zamani

makamanda wote wa arusha kina Arushaone huwezi kuwaona, kimyaaaaaaaaaa ........

Na bado act inawashuhulisha.

Ngoja nimwite utaifakwanza wa act aje awagawie kadi makamanda wa cdm
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaahahahahahaha........ ooowiiii, oode ..... ngastuka! CHADEMA Arusha ni Milele chalii angu.
 
wekeni picha basi za Leo?????
au mnaziediti kwanza zile za zamani Ndio mtuwekee????
 
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

Hilolimama lilitaka lichongewe kitanda au anunuliwe gali
 
Waki edit tutazijua tuu siku hz hakuna uongo ktk teknokojia
 
Back
Top Bottom