Naamini maneno ya mh. Lowassa, CHADEMA Arusha itabaki historia

Haki ipi zaidi ya 5:0? Au mmesahau?

wekeni picha tujue kweli bado mnaipenda chadema.
Mkuu Ritz njoo wafundishe makamanda namna ya kuweka picha, Naona wamesahau.
 
Last edited by a moderator:
Wananchi wa Arusha wengi wetu hatutaki hata kuisikia CHADEMA. Tunasubiri Uchaguzi uje tuwape 'haki' yao!

Wewe endelea kuota ndoto za mchana tuu arusha hawataki kusikia kitu kinaitwa magamba.
 
Kwa hiyo huyo mama anataka kwenda CCM ili watoto wake wasome shule nzuri na yeye apate gari na kulalia kitanda kizuri?

Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

Sirluta, umbeya wako peleka huko kwenu LUMUMBA ukalipwe bk 7 yako. Usipende kudandia tren kwa mbele.
 
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

Weka picha wacha porojo
 
Hahahahaha....Daaah JF inavichekesho sana....

Juzi tulikuwa kwenye mkutano wa Lema mpaka tulikosa sehemu za kusimama..
 
ccm bna.mnnafanya kila wawezalo kumgonganisha lowassa na wapinzani lakin kila mkijarib tu mnaangukia pua,swaga ya lowassa na mbatia imeshachuja,ya act nayo imechuja,sasahiv mmekuja na ya lema,na bado lowassa atawapakata sna

Kwani LOWASSA na wapinzani ni marafiki?
 
Hizo picha ni kuzuga mada hii, bado tu hamjamaliza kuziedit?
 
Teh teh endelea kujipa moyo hivyo hivyo. Hutaamini kitakachotokea ccm arusha hatutaki hata kuwasikia.. kwa bunge la katiba mmemshika kipofu mkono

Mtaula wa chuya kwa kumuwazia mh Lema..peopleeeeeeesssssssss
 
Wakuu, naomba mwenye hizo picha za mkutano Iboru-Stand aturushie, tusiongee tu kwa maneno.
Angalizo zisiwe picha zile za zamani

Atatoa wapi picha mkuu... aibu yaooo.
Hiyo miaka hamsini ya ccm wamewasaidiaje hao wamama?
Juzi tu hao ccm wamewavunjia hao wamama vibanda vyao vya matunda.
Shame ccm
 
Wakuu, naomba mwenye hizo picha za mkutano Iboru-Stand aturushie, tusiongee tu kwa maneno.
Angalizo zisiwe picha zile za zamani

Lema kawakamata ma ccm sehemu mbaya sana kiasi wanamuota kila kukicha
 
Back
Top Bottom