Naamini maneno ya mh. Lowassa, CHADEMA Arusha itabaki historia

na pale arumeru mashariki kwa joshua nasari na yeye anatakiwa atolewe,ameshajitajirisha na mfuko wa jimbo vya kutosha.
 
Kwanini wewe usiweke picha za hiyo mikutano iliyopungua idadi kwa 80% ili kuthibitisha hoja yako badala yake unawaomba wakuwekee picha hao unaowatuhumu? Hoja za kitoto hizi
 
Kweli kabisa mkuu,itabaki historia,si unaona twiga wanaingizwa ndani ya ndege wakiwa hai,oparesheni tokomeza mawaziri,ufisadi,madawa ya kulevya nk.
 
Kwanini wewe usiweke picha za hiyo mikutano iliyopungua idadi kwa 80% ili kuthibitisha hoja yako badala yake unawaomba wakuwekee picha hao unaowatuhumu? Hoja za kitoto hizi

nimewaacha waweke wenyewe kwani walikuwa wanapenda kuziweka sana!
 
Tuna imani na marry chatanda mbunge mtarajiwa maendeleo yaliyosimama arusha yatapaa
 
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

Ni kawaida kwa mgonjwa mwenye magonjwa muda mrefu huwa anajipa moyo
 
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

Wenyewe wanaamini kuwa chama bado ni imara
 
Attachments

  • 54176fe8dd5ed6314b9c3c223ac9d0bc.jpg
    54176fe8dd5ed6314b9c3c223ac9d0bc.jpg
    91.3 KB · Views: 98
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

Mahudhurio kwenye mikutano sio kipimo sahihi cha kujua uhai wa chama na kudumu kwake(Rf Mrema na TLP)

Utendaji na kukubalika kwa kiongozi ndio zana ya kuendelea kutawala kwa chama katika eneo husika.
Mbunge G.Lema anapendwa sana hapa Arusha haswa na vijana, baada ya kuwaamsha na kuwaelewesha haki zao za msingi katika siasa. Mkakati wa kuifuta kabisa CCM..huo ni msemo tu wa kisiasa...muhimu angefanya yafuatayo ili kujiimarisha katika jimbo lake (kama ana mpango wa kugombea tena)

. Kwa vile tangu achaguliwe hajawajibika ipasavyo kwa Wapiga kura wake katika Kuhamasisha
maendeleo,(elimu, afya na miundombinu), huu ungekuwa wakati muafaka kutembelea kila kati na
kufanya vikao vya kuibua matatizo na kutafutia ufumbuzi kwa kuwashirikisha wananchi husika kwa
kutumia mtaji wa KUPENDWA alio nao. Ikumbukwe; MAENDELEO YA WATU HULETWA NA WATU WENYEWE!

. Zile ahadi alizotoa mwanzo alipokuwa kwenye kampeni(e.g Kituo cha watoto yatima na nyinginezo)
azitolee maelezo yanayojitosheleza kama zimeshindikana kutekelezeka.

. Siasa ni jitihada, aige yanayofanywa na Mbuge wa Musoma Mh. Nyerere na aelewe kwamba
Matendo yana sauti kubwa kuliko Maneno.

Wananchi tunataka kuona tofauti za kiutendaji na mipangilio katika kufanya mambo kwenye kuleta maendeleo na sio tofauti za sare. Ieleweke kwamba itakuwa rahisi kupata jimbo/kata ambalo halijawahi kutawaliwa na upinzani kuliko kurudisha lililokuwa upinzani likarudi CCM.
 
daah ila ccm wanao wafuasi wengi sanaa eeh,akina mama na wazee mliowapa kofia na t shirt,alafu lowassa naona anakutomba wewe
 
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

Team #WekaPicha kwanini usiweke picha ya kabla na baada....tuone tofwauti mkuu!!
 
Nayaamini kwakuwa siku hizi mahudhurio kwenye mikutano yamepungua sana kwa zaidi ya 80%.

Kwa wanaobisha waweke picha halali za hivi karibuni za mikutano hiyo, mfano uliofanyika leo jioni katika eneo la Stand-Ilboru, linganisha na ya mikutano ya siku za nyuma.

Nimemnukuu mama mmoja "Tumemchagua Lema, sasahv analalia kitanda kizuri, ana usafiri, amejenga, watoto wake wanasoma shule za maana, mimi bado nauza ndizi! Sitaki tena kusikia Chadema na mabom yao"

naona unalazimisha ndoto wakati uko macho
 
Je na hao walioichagua ccm miaka yote wananini? na huyu mwingine amekuja na kauli za maisha bora kwa kila mtanzania kafanya nini kama si kujitengenezea utilionea wa wizi na biashara haramu!
 
Na bado tu mwaka huu mtatafuta kila njia kudhoofisha upinzani lakini mtakwama tu.Unasema huyo mama bado anauza ndizi,je ulimuuliza wakati wa ccm alikuwa anauza nini?
 
Kwanini wewe usiweke picha za hiyo mikutano iliyopungua idadi kwa 80% ili kuthibitisha hoja yako badala yake unawaomba wakuwekee picha hao unaowatuhumu? Hoja za kitoto hizi
Hahaha hahaha hahaha hahaha magamba yanaweweseka!
 
Back
Top Bottom