Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,162
- 18,837
Inawezekana. Mara nyingine naamini walokole wanatumia nguvu fulani zilizojificha kufanya mambo yao! Lakini chama chenye mchanganyiko wa dini mbalimbali, haikiwezi kudumu kwa kuendeshwa na nguvu za kilokole!Ni Mlokole
Deep state ni nani? Na kuvunja nguvu ya Msoga hakuihitaji anayotenda Makonda. In fact, ukifanya hivyo unaweza kuwa unampa Msoga nguvu zaidi - ya kuleta mgawanyiko ndani ya chamaDeep state wamemweka hapo kuvunja nguvu ya Msoga at al.
Ahaa!! Nimegusa kunako?Tangu uanze kuleta comment za ukabila kwenye maisha yako umepata maendeleo gani au umepata faida gani!?,Kuna watu humu jamii forums mna upeo mdogo sana wa kufikiri(thinking capacity), nina uhakika hata kwenye familia zenu ni mizigo tu.
Wewe naona uko gizani afadhali ungekaa kimya usijibu. Umelichukulia hili jambo kwa wepesi sana, kutekeleza ilani ya CCM? Ina maana ilani ya CCM imeanza kutekelezwa Makonda alipoteuliwa kuwa katibu mwenezi? Kama ndio hivyo basi Chadema wanasema ukweli, kwamba CCM mpo mpo tu hamjui mnalolifanya wala kusimamia.Naona sasa mmeanza kuweweseka kama kawaida yenu. Hata kabla ya kuwa mkuu wa wilaya na baadaye mkuu wa mkoa kila mmoja hakufahamu majukumu ya nafasi hizo, pamoja na mamlaka yake katika kuchochea maendeleo.ni mpaka alipoteuliwa mwamba mwenyewe Mheshimiwa Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Mheshimiwa Makonda ni kijana jasiri na anayetambua majukumu yake.afanyayo ni majukumu yake kabisa. Chama ndicho kilichounda serikali na siyo serikali iliyounda chama. Ni chama kinachokwenda kwa kuomba kura na siyo serikali.
Kwa akili yako hiyo hiyo unafirikiri chama kikianguka hao wakuu wa mikoa watabaki? Hao mawaziri watakuwepo ? Hao madc na watabakia? Sasa kwanini wasikiheshimu chama kilichowapa nafasi hizo kwa ajili ya kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM?
Naona sasa mmeanza kuweweseka kama kawaida yenu. Hata kabla ya kuwa mkuu wa wilaya na baadaye mkuu wa mkoa kila mmoja hakufahamu majukumu ya nafasi hizo, pamoja na mamlaka yake katika kuchochea maendeleo.ni mpaka alipoteuliwa mwamba mwenyewe Mheshimiwa Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Mheshimiwa Makonda ni kijana jasiri na anayetambua majukumu yake.afanyayo ni majukumu yake kabisa. Chama ndicho kilichounda serikali na siyo serikali iliyounda chama. Ni chama kinachokwenda kwa kuomba kura na siyo serikali.
Kwa akili yako hiyo hiyo unafirikiri chama kikianguka hao wakuu wa mikoa watabaki? Hao mawaziri watakuwepo ? Hao madc na watabakia? Sasa kwanini wasikiheshimu chama kilichowapa nafasi hizo kwa ajili ya kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM?
NI wazi wewe huna ufahamu wa kutosha kuhusu majukumu ya chama na serikali katika utaratibu wa uongozi wa nchi. Msikilize Fatma Karume labda kuna jambo utaambulia pale.Si Wapendi CCM, Simkubari Makonda kwa historia yake...!
Ila nakubaliana na anachokifanya, tena nilitamani angepata nafasi ya juu zaidi....!
Kama anaweza kuwafikia Wananchi na kuwasikiliza, hilo binafsi ni Muhimu sana, sisi hohehahe ndo tunataka, mtu atusikilize, pale tunapofukuzwa kwenye office za Umma, pale tunapoambiwa kama hujatoa kitu kidogo, kiwanja chako kinaenda kupotea, halafu anakuja mtu ananambia nieleze matatizo yako ntakusaidia, sisi tutampenda huyo....!
Kama nafasi yake haitambuliki kikatiba, hiyo sisi sio juu yetu, kama yeye sio kitu mbele ya Waziri ki cheo ama mbele ya Katibu Mkuu, hilo sisi hatujari, sisi tunajua kuna mtu ana nafasi huko CCM, anapita nchi nzima kujaribu kutatua changamoto zetu masikini...!
Hata kama kwa namna yoyote mkamwondoa, tutaendelea kuomba siku moja aje apatikane kiongozi kama yeye ambaye atatusikiliza...!
Kama anavunja Sheria hiyo sisi haituhusu, coz hata wanaofata sheria hawataki kutusikiliza...!
Makonda wewe ni Wapoti wangu, japo mimi sikukubari wewe kwa historia yako.... Ila piga kazi hivyo hivyo, mradi kuna Masikini wenzangu wanasaidika....!!!!
Ufahamu huo baki nao wewe...!NI wazi wewe huna ufahamu wa kutosha kuhusu majukumu ya chama na serikali katika utaratibu wa uongozi wa nchi. Msikilize Fatma Karume labda kuna jambo utaambulia pale.
CCM na viongozi wa CCM hawafanya kazi kwa mazoea. Acha kufanya vitu na kukalili vitu .badilika. CCM ipo hapo ilipo kwa sababu ni chama ambacho hakiendeshwi kwa mazoea unayoyataka wewe na kukalili.Wewe naona uko gizani afadhali ungekaa kimya usijibu. Umelichukulia hili jambo kwa wepesi sana, kutekeleza ilani ya CCM? Ina maana ilani ya CCM imeanza kutekelezwa Makonda alipoteuliwa kuwa katibu mwenezi? Kama ndio hivyo basi Chadema wanasema ukweli, kwamba CCM mpo mpo tu hamjui mnalolifanya wala kusimamia.
Halafu wewe, sio kila anaeuliza jambo kuhusu CCM basi yeye ni Chadema.
Sasa kuna nguvu gani zaidi ya aliyemteua? Mbona amekuwa akimtaja kila mara?Niite jina lolote, lakini mimi ni mojawapo ya watu ambao huwezi hata kabisa kunishawishi kwamba hii nguvu na mbwembwe ambazo Makonda amekuwa akizionyesha zinatokana na kuwa kwake na cheo cha katibu mwenezi wa CCM. Tusidanganyane hapa.
Makonda sio katibu mwenezi wa kwanza CCM, na wamekuwapo wengine huko nyuma, lakini ni mara ya kwanza tunapata katibu mwenezi wa CCM ambae anaonyesha kujiamini kupita mamlaka yanayostahili ya katibu mwenezi wa CCM.
Leo hii katibu mwenezi awapigie simu mawaziri, amkebehi mwanasheria mkuu wa serikali, awaamrishe wakuu wa mikoa, ma-RPC, eti kwa sababu yeye ndie msemaji mkuu wa chama, hilo tu? Haiwezekani.
Leo hii katibu mwenyezi apewe bajeti, misafara ya magari, kuliko inavyokuwa kwa makamu mwenyekiti wa CCM au katibu mkuu wa CCM, kwa sababu gani? Kwamba katiba ya CCM imebadilishwa kisiri na hawa wote wameambiwa kuanzia sasa bosi wenu ni katibu mwenezi wa CCM? Pamoja na mawaziri? Wakuu wa mikoa? Mwanasheria Mkuu? Wenyeviti wa CCM wa mikoa?
Sote tunajua msemaji mkuu wa chama chochote anasema yale chama kilichoamua katika vikao vyake rasmi. Kuwa msemaji wa chama haina maana wewe ndio unakuwa unakisemea chama, hata siku moja. Kuwa katibu mwenyezi sio katika mpangilio wa vyeo vya chama, ni nafasi tu. Huwezi hata kusema katibu mwenezi wa CCM ni mkubwa kuliko mwenyekiti wa CCM wa mkoa. Lakini sio hivyo kwa Makonda. Yeye amejipa madaraka ambayo nadhani yanazidi hata ya kuwa makamu mwenyekiti wa CCM, au katibu mkuu wa CCM. Kujiamini huko kunatoka wapi? Mamlaka haya yanatoka wapi? Kwamba siku zote hatukujua kuwa katibu mwenezi wa chama ni mtu mkubwa namna hii? Ni kweli?
Nyie watu wa CCM, nyie mawaziri, nyie wakuu wa mikoa, tuambieni ukweli. Kinachowafanya muufyate Makonda akiunguruma ni nini hasa, Ukatibu mwenezi wa CCM? Na kwa nini sasa wenye akili tukiwauliza mbona mambo yako hivi, mnaishia kutabasamu tu bila kusema lolote? Kuna kitu gani msichotuambia?
Na niwaambie wazi nyie watu wa CCM. Kama nguvu ya Makonda sio ya kikatiba ndani ya CCM, kama kuna chanzo kingine kisicho rasmi kinampa nguvu na kujiamini kiasi hiki, basi anguko la CCM liko karibu sana!
Kuna kapicha flani hivi, kila nikikakumbuka nafunga mdomo.Niite jina lolote, lakini mimi ni mojawapo ya watu ambao huwezi hata kabisa kunishawishi kwamba hii nguvu na mbwembwe ambazo Makonda amekuwa akizionyesha zinatokana na kuwa kwake na cheo cha katibu mwenezi wa CCM. Tusidanganyane hapa.
Makonda sio katibu mwenezi wa kwanza CCM, na wamekuwapo wengine huko nyuma, lakini ni mara ya kwanza tunapata katibu mwenezi wa CCM ambae anaonyesha kujiamini kupita mamlaka yanayostahili ya katibu mwenezi wa CCM.
Leo hii katibu mwenezi awapigie simu mawaziri, amkebehi mwanasheria mkuu wa serikali, awaamrishe wakuu wa mikoa, ma-RPC, eti kwa sababu yeye ndie msemaji mkuu wa chama, hilo tu? Haiwezekani.
Leo hii katibu mwenyezi apewe bajeti, misafara ya magari, kuliko inavyokuwa kwa makamu mwenyekiti wa CCM au katibu mkuu wa CCM, kwa sababu gani? Kwamba katiba ya CCM imebadilishwa kisiri na hawa wote wameambiwa kuanzia sasa bosi wenu ni katibu mwenezi wa CCM? Pamoja na mawaziri? Wakuu wa mikoa? Mwanasheria Mkuu? Wenyeviti wa CCM wa mikoa?
Sote tunajua msemaji mkuu wa chama chochote anasema yale chama kilichoamua katika vikao vyake rasmi. Kuwa msemaji wa chama haina maana wewe ndio unakuwa unakisemea chama, hata siku moja. Kuwa katibu mwenyezi sio katika mpangilio wa vyeo vya chama, ni nafasi tu. Huwezi hata kusema katibu mwenezi wa CCM ni mkubwa kuliko mwenyekiti wa CCM wa mkoa. Lakini sio hivyo kwa Makonda. Yeye amejipa madaraka ambayo nadhani yanazidi hata ya kuwa makamu mwenyekiti wa CCM, au katibu mkuu wa CCM. Kujiamini huko kunatoka wapi? Mamlaka haya yanatoka wapi? Kwamba siku zote hatukujua kuwa katibu mwenezi wa chama ni mtu mkubwa namna hii? Ni kweli?
Nyie watu wa CCM, nyie mawaziri, nyie wakuu wa mikoa, tuambieni ukweli. Kinachowafanya muufyate Makonda akiunguruma ni nini hasa, Ukatibu mwenezi wa CCM? Na kwa nini sasa wenye akili tukiwauliza mbona mambo yako hivi, mnaishia kutabasamu tu bila kusema lolote? Kuna kitu gani msichotuambia?
Na niwaambie wazi nyie watu wa CCM. Kama nguvu ya Makonda sio ya kikatiba ndani ya CCM, kama kuna chanzo kingine kisicho rasmi kinampa nguvu na kujiamini kiasi hiki, basi anguko la CCM liko karibu sana!
Pimbi weweKuna kundi kubwa la Wahutu/Wasukuma lililomo ndani ya CCM ndio liko nyuma ya huyu Muuaji.
We umeingia chaka. Kuna nani mwenye nguvu nchi hii zaidi ya Rais? Msitafute namna ya kukweza hilo kabila lenu la kishamba. Yule mtu wenu aliyewakweza ameshatutoka au hamuamini bado?Kuna kundi kubwa la Wahutu/Wasukuma lililomo ndani ya CCM ndio liko nyuma ya huyu Muuaji.