Naachika kila siku

poa shostiiii
 
Hilo nalo neno. Umeshahisi kuwa haya mahusiano hayana hatima nzuri, na bado unabaki karne ukijua kuwa mwisho ni kuachana ...what for?
heri umenielewa mkuu
 
Wadada wengi siku hizi wana pepo la ngono...think!!
 

Shukuru hujampata tapeli wa mapenzi, naogopa utakuwa kinganganizi wewe binafsi.
 
Smile njoo kwangu,mimi nita pokea simu zote hata nikiwa msalani na kujibu sms zote hata nikiwa beach naogelea. Achana na wazushi hamia kwangu.
 
Tatizo lako dogo sana...una kiherehere cha Penzi alaf dizaini kisirani/short temper ...na je kama mkiachana lazima mtakuwa mshapiga Show ?...au hao wakati mnaanza relation jamaa anachokitemea sicho alichokikuta...hebu jipige chabo unalipa ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Well said... Smile unaona visivyoonekana kama ulivosema...lol
 
Last edited by a moderator:
poor smile 🙁
u have commitment issues. you are afraid of committing to a guy fearing he'll break your heart and make u feel used, so u break off a potentially good relationship over trivialities. give someone a chance and see what happens, u might be suprised. contrary to stereotypes, most of us aren't pigs
 
Angalia mfano huu:
Kuna umri binti ataitwa na kila mwanaume hata bila makeup yoyote anawaka!.
(mti ukiwa umechanua maua umependeza kila kiumbe kinauendea ndege na nyimbo zao nzuri wanyama wakifuata kivuri nyoka wakiwinda kitoweo)

Kuna umri binti anachuja ataweka wanja, michubuo, mitindo ya nguo mbalimbali atasuka mitind kibao, pafyumu nk. Lakini wapi kifuani ni saa kumi jioni nk.
(mti umenyauka sasa hauna tena harufu nzuri ya maua hakuna majani ya kivuri na viumbe wote wameukimbia wanabaki mijusi tu nao nia yao ni kula utonvu unaokuwa ukitoka kutokana na jua kali na kwenda zao)
Bahati nzuri kwa mti unaendelea kupata maua kila mwaka na mrafiki pia
Angalia umri wako dada
Smile
usije ambulia mijusi.
 

Simshangai sana Smile,mabinti wengi wa karne hii mapenzi yao ni simu,facebook na mapozi mengi..Usipompigia simu nongwa anataka kila baada ya saa upige darling nyingi,sweet..wizi mtupu!! au yeye akikupigia anataka upokee tu kuna wakati mtu unaweza kuwa unaongea kwenye meeting kwa mfano utapokea vp? au usipo comment au ku post kwenye wall yake ya facebook basi haumpendi.Smile endelea mama ila ukishazeeka hata uwe una smile muda wote hautampata mwenza,we jivunie ujana!!
 

Mtanzania Imara haya ndio mapenzi ya siku hizi
Kumjibu kwenye wall yake ya facebook na kumsifia kwenye picha yake aliyoweka muda sio mrefu
Na kila upatapo muda umpigie umuulizie hali
Je umekula darling au wafanya nini muda huu au jioni nikupitie twende dinner wapi
hayo ni mapenzi ya watoto wa shule ambao wana muda
Mtu kama una kazi zako huwezi muda wote ukawa unachat na simu au kujibu kila sms au kutembelea wall ya facebook ya mpenzi wako ujue ameweka status gani
 
ahaaa mi sipo hivo bwana...
 
...duh..inawezekana ukawa na First Eleven..isiyo dumu...yaani hakuna mwenye uhakika wa namba...
 

Hiyo Facebook imewachota sana watu akili Mr Rocky we acha tu! Tumelala pamoja,tumeamka pamoja asubuhi na mapema nikamwambia happy birthday darling na kumpa kisi la nguvu..akaenda kazini nami nikaenda kuchakalika jioni nikamjia na kadi na ka zawadi ka birthday,nashangaa hana raha vipi tena? haujanitakia happy birthday kwenye facebook wall yangu,yaani watu wengine wamenipongeza kwenye facebook wewe haujanipongeza! Kwani facebook ni njia pekee ya mimi kukutakia happy birthday? siku mbili hakuwa na raha..yaani facebook imewakamata pabaya sana
 

Vitu vingine uwe unavimezea ili mambo yaweze kwenda. Halafu baadae utakuwa stress free person
 

Mkuu Mtanzania Imara usipoangalia unaweza kuachwa kisa hujacomment kwenye picha yake aliyoweka facebook
Au hujacomment kwenye wall yake kwa siku nzima
Mi nawashangaa sana na ndo maana wengi wa watu wanajiondoa humo baada ya kuona malengo ya ile facebook pale ilipo siyo kabisa
Bora nibaki na ushamba bana siko facebook
 
Sorry to tell you that you are a person of no patiency. You may not be able to presevere marriage life if you do not change. you need to learn how to endure difficult situations , and particulary how to torrerate boys behaviours.
 
ni watu wachache sana tuna upako wa aina hii......nilikuwa natafuta mwenzangu mwenye karama kama yangu.....kumbe ni wewe Smile......aaahh....halelluyahhhh.....

Preta you made my day! anzeni maombi haraka sana.
 
hilo la kucomment katika wall hata mie nakukubalia. Mr Rocky...na picha unabidi ucomment..sasa watu kama sisi vimeo kila kona utata mtupu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…