Naachana na mke wangu rasmi

Naachana na mke wangu rasmi

Huyo ana kiburi. Wewe unatakiwa uwe Jeuri. Dawa ya Kiburi Jeuri mkuu.
 
Mkuu umeanza kukosea wewe, akiondoka inabidi akirudi nyumbani akute umefanya sabstutition na maisha yanaendelea. kama unafikiri suala ni ndoa ya kanisani ukimuacha utakuwa umepata dhambi, jiulize dhambi utakayokuwa umefanya ni hiyo tu? vipi kuhusu kukaa nae huku una vinyongo, haya maisha ni mafupi sana kuishi na stress.
 
Wangu alitaka kuniletea kamtindo hako,nikagundua nilikuwa simpi ( bakora za ukweli )sasa hivi nambomoa kiuhakika,akawa mpoleeee,
 
ana miaka mingapi kwani, af nilidhani unaomba ushaurihujui cha kufanya kube unataka umpige chini...nana huo upuuzi anaokufanyia mimikwangu angeshika adabu maana ni ujing sasa io hata kudeka huko
 
Usimwache
Ila akiondoka usimfate
Usimpigie cm.
Wala kumuomba msamaha
Km anakupenda atarudi
Na akirudi mpe option zako
Na unamwambia usipofata utaenda moja kwa moja
Kununa gani huko khaa
 
Wakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa

Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki kukosolewa yaani kila nikimkosoa tutakaa siku tatu bila kuongea akiwa kanuna yaani lazma nimuombe msamaha hata kama kanikosea

Pia huwa ana tabia ya kunijaribu sanaa kama kuna kipindi nilimkuta anaongea na mtu usiku nikamwambia SIKUAMINI nakumbuka usiku ule ule alichukua begi lake akaondoka yaaani ndugu zangu nilifikilia sanaa nilipoksea sikupaonaa ila sikukata tamaa nikzidi kumwomba arudi home niliomba msamaha sanaa kisha akakuali akarudi

Kipindi kingine nilipika viazi na nyama nikazidisha mchuzi sikuamini macho yangu yaaani mamaa alikasilika sanaaa akakataa kula akaondoka kwa hasiraa kwenda kulala kwa dadaake kule pia nilitumia nguvu kubwa kumrudisha

Sasa hii ya sasa ndo imenikatisha tamaa yaani niko kikazi tanga mke wangu kuwa anapiga simu mda wote akidai kanimis nikamwambia ntarudi alhamis but nilipata emergrncy mke akakasirika sanaaa huku akisistiza simthamini pia akidai tuachene tuu sasa jana ndio nilirudi home akanipokea vizuri tuu nikamwomba msamaha kwa kumpa feki promis akasema kanismehe kumbe ana yake moyoni
alikataa kuongea na mimi tangu jana bila mimi kujua sababu hadi asubuhi namuaga naenda kazini kumalizia kipolo cha kazi akakasilika zaidi akaondoka pia kazini kwake bila hata kuniaga kitendo kile kimenishangaza sanaaa

Sasa ntaka nifanye mmamuzi magumu naona antaka ajifanye mwanamme ndani ya nyumba ntaka nimpe taraka naombeni ushauri
Bro pole xn
Mm naamn had mtu mzma anapokuja mbele za watu kusema ya moyon ujue yamefika pabaya na zaid ya yote mm nahis kuna mambo makubwa anakute dea ila kwa kuwa unatunza heshima yako tuu umesema baadhi
Bro kama hujazaa nae plz achana nae
Na kama umezaa nae hebu mkalishe chin mwambie nn ambacho unataka na nn ambacho hukitak na mpe nafas aseme ya moyon
Zen muweke makubaliano yenu
La sivyo hebu piga chin huyo sio demu bal n demu wa masela
Ili usirudie makosa ya nyuma kama ukimpata mwanamke unaempenda jitahd kumpenda 50% na 50% mwachie yy akupende alafu mweleze live umpendavyo ili usiumie tena
Zaid ya hayo juu kabla hujaoa tena naomba tumia mbinu hii"Shake well b4 use"
Yaan mega kisela kwanza huku unampeleleza tabia yake
Zen ukieidhika funga nae ndoa
Mapenz ya muuza chips na mwanamke waachie wauza chips bro
Sijaoa ila nashukuru mnao toa changamoto za ndan ya ndoa
 
Now days, 98% of marriage misunderstandings are caused by spiritual husband or spiritual wife, therefore do not take such decision, first of all go to the servants of God for delivarence prayers. Don't think by casting her out you will come to stabilize with other woman, never
 
Tutumie kadi ya mwaliko kushuhudia tukio hilo muhimu.
 
Usimpe talaka ndugu huyo udhaifu wake unarekebishika unaweza muacha huyo ukaja angukia pabaya zaidi Ila muonye na wewe pia badilika usiombe msamaha kwa kosa ambalo hujafanya ila tafuta dawa ili aache tabia yake mbaya
 
Kuna story nilisikia zamani ya mwanamke aliekua na tabia Kama za mkeo kosa kidogo anaondoka na kumbe akiondoka anakua anafatilia mumewe anafanya nini mume akaamua siku moja alipoondoka akanunu vyupi vya kike na kila asubuhi akawa anaanika moja nje na kumbe mkewe alikua anamfatilia mke alipoona kwa siku tatu mfululizo anakuta dikodiko za kike nje za rangi tofauti akajua hapa nimeshachokwa akarudi kwake spidi tena akataka afumanie kabisa Ila tangu siku hiyo akili zilimkaa kichwani na hakuondoka tena kwake mana alijua akiondoka mwingine anaingia so nawe tafuta dawa ya mkeo pia atanyooka tu
 
Back
Top Bottom