Naachana na mke wangu rasmi

Naachana na mke wangu rasmi

Dah pole mimi ndio mana mda mwingine naona bora nisimuoneahe mtu kama nampenda! Huyo anajua kuwa unampenda ndio mana analeta kiburi!

Raha ya kupendwa unatakiwa udeke sio kuleta kiburi! Alitakiwa adeke coz unampenda!

Sasa dawa ya hao watu ni kutafuta mzuri zaid yake ili uweze kumsahau haraka! Alaf nenda nae anavyotaka ukihitaji mahabba nyumba ndogo ipo kwa ajili yako!

Akiendelea talaka inamhusu!

Ila pia usisahau kuwashirikisha wazee huwenda wakatatua tatizo!
 
Akitishia kuondoka mwambie akitoka asirudi... Hataondoka
Sio akitoka asirudi, wakati anatafuta nguo na yeye amsaidie kumuandalia kila kilicho chake, akiondoka msela akatafute nyumba sehemu nyingine ahamie kuondokana na jinamizi la mwanamke na asongeshe maisha yake. Wanawake wengine wanasaga soli kwa waganga kutafuta mume huyu anabeep?
 
Wakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa

Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki kukosolewa yaani kila nikimkosoa tutakaa siku tatu bila kuongea akiwa kanuna yaani lazma nimuombe msamaha hata kama kanikosea

Pia huwa ana tabia ya kunijaribu sanaa kama kuna kipindi nilimkuta anaongea na mtu usiku nikamwambia SIKUAMINI nakumbuka usiku ule ule alichukua begi lake akaondoka yaaani ndugu zangu nilifikilia sanaa nilipoksea sikupaonaa ila sikukata tamaa nikzidi kumwomba arudi home niliomba msamaha sanaa kisha akakuali akarudi

Kipindi kingine nilipika viazi na nyama nikazidisha mchuzi sikuamini macho yangu yaaani mamaa alikasilika sanaaa akakataa kula akaondoka kwa hasiraa kwenda kulala kwa dadaake kule pia nilitumia nguvu kubwa kumrudisha

Sasa hii ya sasa ndo imenikatisha tamaa yaani niko kikazi tanga mke wangu kuwa anapiga simu mda wote akidai kanimis nikamwambia ntarudi alhamis but nilipata emergrncy mke akakasirika sanaaa huku akisistiza simthamini pia akidai tuachene tuu sasa jana ndio nilirudi home akanipokea vizuri tuu nikamwomba msamaha kwa kumpa feki promis akasema kanismehe kumbe ana yake moyoni
alikataa kuongea na mimi tangu jana bila mimi kujua sababu hadi asubuhi namuaga naenda kazini kumalizia kipolo cha kazi akakasilika zaidi akaondoka pia kazini kwake bila hata kuniaga kitendo kile kimenishangaza sanaaa

Sasa ntaka nifanye mmamuzi magumu naona antaka ajifanye mwanamme ndani ya nyumba ntaka nimpe taraka naombeni ushauri
Tatizo ndo hilo. Hawa wanyama ukionyesha tu kuwapenda kwa dhati ndo ujue umejipeleka Segerea mwenyewe.

Usipompenda pia janga.

Kuna mtu aliwahi kuniambia mwanamke mpende moyoni ila usimuonyeshe kwamba yeye ndo kila kitu.
 
Umesema ana hofu na Mungu?Unajua haya maneno huwa yana nitatiza sana kama mtu ana hofu kweli angefanya yote hayo anayofanya?Au mie hiyo hofu unayoingelea siielewi?
anaogopa kutenda dhambi za makusudi kama kuchepuka pia na kusema uongo
 
Kama kaenda we muwache,,usimpigie cm wala kumuiza chochote,mwezi hauishi atakutafta mwenyewe na atarudi
 
Back
Top Bottom