Naachana na mke wangu rasmi

Naachana na mke wangu rasmi

mkuu hiko ni kiburi tena kimezidi sana aisee cha kukushauri...tafuta rafiki yako wa kike panga nae dili siku huyo mkeo akikuretea kiburi mchukue huyo rafiki yako mwingine wa kike mlete hapo kwako mpe maji akaoge ikiwezekana ajifunge kanga tu ili majirani wamuone. hapo lazima mkeo atapigiwa simu huko aliko kuwa umeingiza mwanamke ndani akija na kiburi tena mwambie kuwa umemchoka. achukue kilicho chake talaka itamfuata kwao. wanawake hapo mimi huwa wananikera muda mwingine nawaza sana hadi huwa sipendi kuishi nyumba moja na mwanamke.
Nimeipenda hii mechanism
 
Hata kama ni story ya Kutunga ila wanawake wako Hivyo.. Kabla ya Ndoa wanasumbua kweli upeleke mahari aolewe, akisha olewa anafogetii kila kitu.. Vituko vyako ni hivyo but kila MTU Ana Vituko vyake nyumbani.. hawasemi tu watu humu.

Mie nikwambie ukweli tu, kuna step moja sitaiweka open uliikosea kwenye Uchumba, na ITAKUCOST sehemu Kubwa ya maisha Yako. Huyo ni mkeo Na kumwacha Huwezi hata ufanyeje.. na usitarajie atabadilika..ni Tabia ya kizaliwa kwake hata ufanyeje iko hivyo. Cha Muhimu mwelewe, mchukulie alivyo, maisha iendelee..
Kwanini hawezi kumwacha?na umejuaje?
 
Wewe vipi ndugu yaaani mwanamke akinuna au akienda kwao ww kiroho papo? Hebu mlete kwangu nimwonyeshe wanaume hatununiwi hovyo kama kinyonga akinuna mimi naendelea kula mzigo kibubu bubu akijifanya kurudi kwao mimi nashangilia ndio muda wa michepuko kula vyao kwetu mwanamke kununa bila sababu hakuna nafasi hiyo
 
What? Jamaaa unamoyo mgumu kinoma? Anakupikirisha? Mara unazdisha mchuz ! We mwanaume wa tanga? Maadamu anatishia nyau nawe zingua upime anamanisha nn? Maana me naona yote anayokutendea anakupima akushke kwa yap.naww kwa kutojuaa unamlegezeaaa
 
Unaandika ukiwa umegida mbege au? Yaani shombo zote anazo kufanyia ndo unasema anakupenda!! We hujawahi kuona mwanamke anayempenda dume au! Tatizo la kuonja nyapu ukubwani ... yaana hapo bado unataka na ushauri ili upate kusingizia jf wamekushauri usimuache ha ha.. just be serious, huyo hata huko kunyumba hata mauno anakata kweli !!!!!!!!!! kama ni kweli zinduka huko kitaa kuna warembo kibao wanakusubiri waje kukunyenyekea na kukubembeleza mpaka ujutie kuzeeka mapema.
 
Wakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa

Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki kukosolewa yaani kila nikimkosoa tutakaa siku tatu bila kuongea akiwa kanuna yaani lazma nimuombe msamaha hata kama kanikosea

Pia huwa ana tabia ya kunijaribu sanaa kama kuna kipindi nilimkuta anaongea na mtu usiku nikamwambia SIKUAMINI nakumbuka usiku ule ule alichukua begi lake akaondoka yaaani ndugu zangu nilifikilia sanaa nilipoksea sikupaonaa ila sikukata tamaa nikzidi kumwomba arudi home niliomba msamaha sanaa kisha akakuali akarudi

Kipindi kingine nilipika viazi na nyama nikazidisha mchuzi sikuamini macho yangu yaaani mamaa alikasilika sanaaa akakataa kula akaondoka kwa hasiraa kwenda kulala kwa dadaake kule pia nilitumia nguvu kubwa kumrudisha

Sasa hii ya sasa ndo imenikatisha tamaa yaani niko kikazi tanga mke wangu kuwa anapiga simu mda wote akidai kanimis nikamwambia ntarudi alhamis but nilipata emergrncy mke akakasirika sanaaa huku akisistiza simthamini pia akidai tuachene tuu sasa jana ndio nilirudi home akanipokea vizuri tuu nikamwomba msamaha kwa kumpa feki promis akasema kanismehe kumbe ana yake moyoni
alikataa kuongea na mimi tangu jana bila mimi kujua sababu hadi asubuhi namuaga naenda kazini kumalizia kipolo cha kazi akakasilika zaidi akaondoka pia kazini kwake bila hata kuniaga kitendo kile kimenishangaza sanaaa

Sasa ntaka nifanye mmamuzi magumu naona antaka ajifanye mwanamme ndani ya nyumba ntaka nimpe taraka naombeni ushauri
Hahahaha all in all huyo mkeo simcha Mungu na wala usimfananishe mwenda ibadani kama mcha Mungu sababu anamtaja au vyovyote wacha Mungu ni wale wanaotenda mambo Mungu anayosema .Mcha Mungu hana vinyongo,nimpenda amani na hanuni maana huwa ni mtu wa kusamehe sasa anaenuna huwa hawapendi kusamehe na hiyo kitu ni mbaya mno ktk ndoa maana inampa shetani nafasi kuharibu ndoa yenu.Ushauri huyo anahitaji kuelezwa habari za Mungu upya kamakweli nimcha Mungu ili afanye yale Mungu anayosema.So mtafutie mmama wa hekima unaemwamini amfundishe jinsi gani ndoa za wacha Mungu zinavokua badala ya kua mwanamke mwombolezaji mbele za Mungu kwa familia yake yeye anageuka kua mvunjaji wa ndoa yake .Na neno linasema mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.Sipendi watu wanaojifanya ni kondookumbe ndani ni mbwa mwitu.
 
mi bado siajingia kwenye ndoa lakini sijafunza kumdekeza mwanamke hivyo aisee

eti ananuna kisa umezidisha mchuzi

 
Mkuu fanya hivi akununa na wewe usimsemeshe mpaka atakapoamua kukusemesha, akisema anaondoka usimjibu kitu we fanya mambo yako, akiondoka usimpigie simu we kaa kimyaaaa, akirudi wewe kaa kimiyaa akikosea usisite kumweleza, habari za kumtetemekea uache sio yeye aliyekuoa wewe ndio umemuoa, ACT LIKE A MAN FULL STOP. usiwe mtu wa kuyumbishwa na mtu aliyetoka ubavuni mwako
 
Hyoo co MKE wake halali Bali niwale karbu tukae pia unamwendekezaaa kubafuu nanusu fukuzia mbaliii ukoo akwendeee akishapigikaa atajirudishaa na machozi mengi sasa ndo utaamua umrudishee au umvunjie ukutaa
 
Back
Top Bottom