Umekomaa kijana,....ruksa kuongeza mke wa pili sina shaka na handling yako...wise boyMakosa mawili ndo yanaweza kukufanya umfukuze mke kama una roho nyepesi....1.ushirikina 2. Kuchepuka...mengine mnavumiliana vilema vyenu.
Vitu vingine havivumiliki, kila siku kufunga safari na mabegi kwa dada kisa kununa, sasa huyo ni mke au mtoto wa dada.usiache mke kwa ujinga huu! ushamjua usihangaike naye chukulia ni ulemavu wake. Kuna wanawake virangasi shemeji utakuja kulia ukiachana naye endelea na.sala tu mtakaa poa
WADUDU....hehe...hivi mamako jinsia gani tena????Antikiburi ipo mkuu....mm saiv hata aje michelle obama hapa atatulia tu.....nishakuwa profesional wa hawa wadudu.
Nawe nimechoka kukubembeleza bhanaTunapenda kujinunisha ila huyo wako chiboko

Mke wako ni mjamzito???Wakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa
alikataa kuongea na mimi tangu jana bila mimi kujua sababu hadi asubuhi namuaga naenda kazini kumalizia kipolo cha kazi akakasilika zaidi akaondoka pia kazini kwake bila hata kuniaga kitendo kile kimenishangaza sanaaa
Sasa ntaka nifanye mmamuzi magumu naona antaka ajifanye mwanamme ndani ya nyumba ntaka nimpe taraka naombeni ushauri
ivi mbona kila akitajwa mwanamke mnakimbilia kwa mama??? hamna kisingizio kingine?WADUDU....hehe...hivi mamako jinsia gani tena????
Unaanzaje kuchoka sasaNawe nimechoka kukubembeleza bhana![]()

Mama yangu kama mama yako...pia nae ni mdudu wa baba yangu...una swali la nyongeza/...heheWADUDU....hehe...hivi mamako jinsia gani tena????
Mie niwe wa kubembeleza tuuuu, kaz ntafanya saa ngp?Unaanzaje kuchoka sasa![]()
