Naacha pombe na kutubu dhambi

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Nachukua fursa hii kutangaza rasmi kuwa naacha kupiga ulabu AKA pombe kwani nimeona haina deal zaidi ya kuniweka karibu na kaburi.....btw ive seen most ya my relative wana suffer kwa magonjwa ambayo tunaweza kuyazuia kama kisukari......people are suffering aisee cus ya pombe....
Pia pombe inanifanya niwe maskini na uwezekano mkubwa wa mie kupata ngwengwe.....
kwa hiyo na nyie niungeni mkono wadau......home kwangu kuna wine imebakia kama kuna mtu anaitaka aje nitampatia....
 
Hongera kwa uamuzi wako,nani kakwambia kunywa pombe ni dhambi?Anyway kama ni hivyo umaskini unaweza kuwa nao hata kama hupombeki.Nipe RV nije kuchukua huo mvinyo ulioususa.
 
Nitampatia max ila sina hakika kama utafika.....
BTW nimeamua substitute ni kukaaa ndani kuangalia tv na kusoma vitabu......sitaki kuji associate na makundi ya mapopo AKA wakesha bar....
 
Umeandaa mbadala wake lakini? Usijehamia kwenye ulevi usiofaa zaidi UMEJIANDANDAAJE?
 
Nitampatia max ila sina hakika kama utafika.....
BTW nimeamua substitute ni kukaaa ndani kuangalia tv na kusoma vitabu......sitaki kuji associate na makundi ya mapopo AKA wakesha bar....

Utazimiss sana story za kwenye vikao vya jioni,nahisi uzalendo utajakushinda ujitokeze kunako pub.Sema tu nitakufikia kwa gharama zangu.
 
Wewe sema kipato kimeyumba,..sio ulete story za kisanii hapa,......kunywa pombe kwa kiasi na kwa ajili ya starehe zako.
 
Hongera mwaya, jihadhari usihamishie starehe ya pombe kwenye kitu kingine kibaya zaidi.
 
Nachukua fursa hii kutangaza rasmi kuwa naacha kupiga ulabu AKA pombe kwani nimeona haina deal zaidi ya kuniweka karibu na kaburi.....btw ive seen most ya my relative wana suffer kwa magonjwa ambayo tunaweza kuyazuia kama kisukari......people are suffering aisee cus ya pombe....
Pia pombe inanifanya niwe maskini na uwezekano mkubwa wa mie kupata ngwengwe.....
kwa hiyo na nyie niungeni mkono wadau......home kwangu kuna wine imebakia kama kuna mtu anaitaka aje nitampatia....
Masikini viwanda vya pombe, si vitafilisika kwa kuacha kwako kuwaunga mkono!?

Ah ah ah ah, mkuu zile habari za jamaa zako Kenya kufa kwa kunywa chang'aa zimekutisha sana nini bro.

anyway kama ukifanikiwa ni jambo bora sana kwako, Insha'Allah Mwenyezi Mungu akuwezeshe.
 
KUna kitu inaitwa WITHDRAWAL EFFECT.....Hutakiwi kuacha mara moja...Unapunguza kidogo kidogo hadi unaacha kabisa!! Hiyo withdrawal effect ikikuingia unaweza kuwa kama teja aliyekosa unga...Mood swings; kujisikia hovyo na hata kuumwa......

Siyo Dokta ila niishawahi kupitia njia hiyo....UWE NA UVUMILIVU WA ROHO kuweza kuacha kabisaaa....We will miss you man:)
 
umeanza kukua baba
thats gud
stakuimbia tena mabata madogo dogo

may jah help u...
 
Ningekushauri upunguze siyo kuacha.
Naacha kupunguza nimekuwa napunguza lakini nikirudi nilikuwa nafidia kipindi nilichokuwa sipigi ulabu
Wewe sema kipato kimeyumba,..sio ulete story za kisanii hapa,......kunywa pombe kwa kiasi na kwa ajili ya starehe zako.
bwahahahahaha @ New York City,USA hatuishiwagi
 
Sio uache pombe tu acha yote yasiyo mpendeza mungu na kutubu na pia ukumbuke kuwaomba msamaha wale wote uliowakosea kama Nyani nk.
 
nachukua fursa hii kutangaza rasmi kuwa naacha kupiga ulabu aka pombe kwani nimeona haina deal zaidi ya kuniweka karibu na kaburi.....btw ive seen most ya my relative wana suffer kwa magonjwa ambayo tunaweza kuyazuia kama kisukari......people are suffering aisee cus ya pombe....
Pia pombe inanifanya niwe maskini na uwezekano mkubwa wa mie kupata ngwengwe.....
Kwa hiyo na nyie niungeni mkono wadau......home kwangu kuna wine imebakia kama kuna mtu anaitaka aje nitampatia....
acha na nanihii kabisa
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom