Sasa mkuu huyo aliyekuajiri una undugu naye au ulipataje ajira? Maana lugha tu unayotumia kuandika hata asiyeenda shule hatothubutu kuandika hivyo. Kuajiliwa=kuajiriwaJamani mie naacha kuajiliwa naenda kupiga boda boda ushauliwenu jama piki piki niyangu