Asilimia kubwa ya walikushauri wanaonesha kukupandikiza uoga kwenye ishu yako uliyopanga, hivyo usiwe muoga we kazana na maamuzi yako, cha muhim najua utakuwa umeshajiandaa vya kutosha mpaka unafika maamuzi hayo,
Tunakutakia kila la kheri na pia tunaomba baadae uje kutupa mrejesho baada ya mwaka
Britanicca
Kila lenye kheri likutangulie mkuu!Na umuweke Allah karibu sana atakuongoza uendako.
Kama hujajipanga nakushaur usipige chini mzigo ndugu yangu maisha ya kitaa Ni magumu kushinda unavyodhani
Mm Ni muhanga wa hayo nilipiga chini Kaz katika utawala wa mzee wa msoga na nikiwa na salary nzuri tu ya kuish mjini na kufanya mambo yangu mengne lakin nilikuwa sina ndoto za kuwa mwajiriwa.
Wakat natoka nilihakikisha kabisa Nina salio la kutosha la kuishi ndani ya miez sita bila bugza yeyote hapo nikaweza
Nilipotoka sikufanya ajiz ila smartphone yangu ikanipa Kaz nch moja huko ulaya japo sikukaa saana kutokana na ubaguz nikarud bongo then nika set connection zangu nikasepa Tena mbele kwa kupata kampun moja ambayo nishamaliza mkataba nayo
Ila cha msing kama hauna connection yeyote ile usije ukaacha Kaz tu jipange Kwanza
Na usiwaze haya mashirika kama Ni mvivu aisee kuvunjiwa mkataba Ni rahis sana
Pigana baba Kwanza
Da ivi kweli hawa wasingechukua maamuzi magumu wangefika hadi kuitwa president o Prime Minister nkPole kwa masahibu lakini kumbuka mvumilivu ula mbivu. Kama waalimu Magufuli, Majaliwa, Mhagama, Ali Hassan Mwinyi na Nyerere wasingevumilia, unadhani wangelifika hapo walipofikia? Wee vumilia, halafu tafuta kazi ya CCM, gombea Ubunge na baadae Urais. Kila kitu kina mwisho wake.
Da ivi kweli hawa wasingechukua maamuzi magumu wangefika hadi kuitwa president o Prime Minister nk
mkuu maisha yako hivi hata ikitokea ukafukuzwa kazi leo utaishi japo kwa shida ila baada ya muda utapata mbinu bora na unaweza pata dili ama kazi nzuri mpaka ukajiuliza ulikuwa wapi siku zote unang'ang'ania ppasipo eleweka.
Kwani unashindwa kuendelea na ujasiriamali hali ukiwa kazini? Tumia watu wape ajira. Fanya ujasiriamali huku ukiendelea na ajira yako. Fahamu kwamba sasa hivi kila kona imekaza kwenye ujasiriamali ndo usiseme kabisa.Kidogo nna experience ya ujasiria mali coz hata wakati naenda kweny ajiara nlitoka kwenye biashara ambayo nlishaiona inaangalau afadhali ya Maisha so nataka nirudi kulekule
Habari wakuu wote wa jf
nawapenda sana hasa kwa mambo mazur nnayopata
Mmi ni mtumishi wa serikali kada ya elimu (mwl)
Sababu hasa ni hizi
1.interest au hob
Kiukweli hii kazi siipendi niliisomea bada ya kuwa sina otenative najitaidi niikubali but inashindikana so naona kama napoteza muda
2.kipato
Najua kuwa watumishi weng hasa awamu hii ya 5 weng wanalalamika hali ya uchumi but mmi naona hii yangu ni too much
Kiukweli najitahidi sana kujibana ila naona nashindwa, nashindwa kufanya hata mambo ya kawaida tu nikiwa kama baba natamani familiar yangu angalau iishi standard hata kias tu but huku nliko naona kama ndoto
Yan labda uwe mzee wa topup jambo ambalo naona pia ntaongeza ufukara mana ukiisha ndo utataabika kama nnavyoona wengine
Lengo la uzi huu ci kuwatangazia msimamo wangu bali ni kuwaomba wale ambao walishachukua maamuzi kama yangu au wanaotarajia hivyo waendlee kunipa moyo pia wote ambao watakua na wasaa basi wanisaidie kimawazo nifkie lengo langu
Naomba kuwaslisha
NB: Pls nmejitaidi kutumia lugha nzuri naomba bro o sister kama unanishaur bas lugha iwe ya kunielewesha isiwe ya kebehi au kunitusi kwan kuyaheshimu maamuzi ya mtu ni jambo la busara
kweli mkuu, ukiona mtu mzima anakiri kuwa hali ni ngumu na anataka kimbia usidhani kuwa ni mwepesi ni kumtia moyo, but lazima ajue namna ya kupgana huko aendako ili asije dondokea tena hukoNaam, mkuu. Hii ni kama vile wengi wetu huwa tunafikiri kuwa kuna mtu mmoja tu duniani ambaye tulipangiwa kuoa ama kuolewa naye. Ukweli ni kwamba kuna mabilioni ya wanawake/wanaume huko nje ambao wangefaa tu kama huyo uliyenaye.
Du umetisha kwa hii comment ubarikiwe kwa kuchangiaMimi nashauri uache, kwa uandishi wako huu, na ukichangia kuwa kazi yenyewe ulienda basi tu kwa kukosa "alternative" ni bora ukaondoka kuliko kutuharibia watoto wetu.
Mimi nashauri uache, kwa uandishi wako huu, na ukichangia kuwa kazi yenyewe ulienda basi tu kwa kukosa "alternative" ni bora ukaondoka kuliko kutuharibia watoto wetu.
Karibia nusu ya wanaoacha kazi sababu ni hii. So mnaotarajia kuajiriwa, kuweni makini na kitu kinaitwa MKOPO WA BENKI.Changamoto kubwa tunayokutana nayo huwa hatupati elimu za kifedha katika shule zetu.
Tunamaliza vyuoni, tunapata kazi, tunajiingiza kwenye mikopo ya magari au ya kununua viwanja. Mkopo wa miaka 5 mpaka 6.
For all that period tunajikuta tunafanyia kazi bank, na hela tuliyoichukua tunakuwa kama tumeizika. Haiingizi faida yoyote.
Nadhani Kuna umuhimu wa hili somo kuanza kufundishwa vyuoni, au hata iwe kwa mifumo ya seminars.
Nitajaribu kuandika thread kuhusu hizi kitu na jinsi banks zinavyofaidika kutokana na elimu yetu duni juu ya maswala haya.
Karibia nusu ya wanaoacha kazi sababu ni hii. So mnaotarajia kuajiriwa, kuweni makini na kitu kinaitwa MKOPO WA BENKI.
Mtu anachukua take home 470000, na anakopa 10m na kinunua uwanja au kupeleka sehemu yoyote ambayo haimuingizii kipato chochote, na mwisho wa siku anakuja kusema kazi ya ualimu haimsaidii, kumbe pupa imechangia, na kujikita anapata 250000 tu kwa mwezi au chini ya hapo kwa sababu ya kulipa deni.
Halafu hayo madeni nani atayalipa ?Hakikisha umekopa bank na saccoss ndipo uache kazi
Mkuu hao hawakuchukua risk yoyote, kwasababu mfanyakazi anaruhusiwq kugombea huku bado akiwq kwenye ajira, na pindi atakapo shindwa kwenyr siasa, basi mlango wa kurudi kwenye ajira unakuwa wazi.Da ivi kweli hawa wasingechukua maamuzi magumu wangefika hadi kuitwa president o Prime Minister nk