[/QUOTE]nimekusomaPole sana hiyo ndo mitihani ya maisha haswa hiki kipindi cha kutafuta mtu wa kuishi nae cjui kwa upande wa mahitaji yake yeye bibafsi anayakidhi vp ila mim skushauri kwamba ukimuoa ndo atabadilika.lifikirie kwa kina kama factor zingine hazihold nakushauri uendelee kutafuta mke kwani huo ni mwanzo tu
The king.
Ndani ya Dar kuna wanaume watano tu ambao wanaweza kuacha zaidi ya efu kumi kwa siku. 1. Kikwete 2. Lowasa 3. Bakhresa 4. Mkono 5. Kimei
maana yangu ni kwamba hiyo story umepika mkuu,
nimekusomaSubiri kwanza amalizie ile nyumba anajenga kwao. Kama una friji uwe unanunua kama samaki na nyama kwa wiki. Pia mchele nunua. Mwachie za mboga za majanu, matunda na mkaa kama hutumii gas na umeme. Then angalia reaction yake.
Ndani ya Dar kuna wanaume watano tu ambao wanaweza kuacha zaidi ya efu kumi kwa siku. 1. Kikwete 2. Lowasa 3. Bakhresa 4. Mkono 5. Kimei
maana yangu ni kwamba hiyo story umepika mkuu,
hizo ni changamoto za mbeleni nipe ushauri sasa
Aisee ata Kama ningekuwa mm ningefanya the same. Kwanza hujamuoa so apo Ana buy time tu asepe so lazima ajiwekee akiba yake. Pili evi we na akili zako unaacha 15 daily ushafanya calculations kwa mwezi unampa bei gani? Kama bado basi inakutoka 450,000! Naomba nikufundishe ewe mwanaume, mwanzo Wa mwezi chukua iyo 450,000 nenda mwenyewe kafanye shopping ya vyakula nyumbani kwako, beba kila upendacho then mpelekee home uyo mchumba then daily muachie buku 5 tu ya emergency! Nakuhakikishia iyo 450,000 hautaimaliza unaeza kutumia 300,000 apo ndo umenunua hadi vitunguu!! Ebu jaribu hii
mwanamke ambaye hujafunga nae ndoa sidhani kama inaswihi kumuwekea limit