Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa

Hahaha umenichekesha sana! Siku naeleweshwa kuhusu vikoba hadi walikasirika. Manake sielewi lolote. Zile ni outing tu za wanawake aisee, ukijiwekea kwenye account moja some amount weekly na ukaamua huitumii si unakuwa na kikoba chako?
Athari za vikoba hizo......mara kupanda mbegu,mara jamii,mara hela ya Mwalimu.Itatoka wapi ya mahanjumaat ku-replace ugali dagaa?
 
mara mia vicoba, kuna kitu kinautwa hisa, ningekuwa nimeoa.namtaliki mke aisee.

Yaani unakuta mtu anahaha kila wiki kutafuta hela ya hisa, na kukopa.ni lazima.

Wanagawana baada ya miezi 6 au mwaka, na mara nyingi wanadhulumiana tu, mweka.hazina mara kala hela, inakuwa.ishu ya polisi.

Baada ya mahangaiko yooote hayo mtu anapata laki 7, sana sana m1.

Najiuliza, si bora kufungua genge, walau ni biashara.endelevu.na mtaji waweza kua. Kwa mwaka mzima hukosi m1 na usheee.

Hahaha umenichekesha sana! Siku naeleweshwa kuhusu vikoba hadi walikasirika. Manake sielewi lolote. Zile ni outing tu za wanawake aisee, ukijiwekea kwenye account moja some amount weekly na ukaamua huitumii si unakuwa na kikoba chako?
 
Nianze na kukupa pole kwa yote unayokutana nayo. Unaonekana una nia ya kujenga familia ilia unayejenga naye hajitambui nafasi yake katika familia hiyo.

Tafuta siku moja ya Jumamosi kanunue mahitaji ya wiki yanayolingana na pesa unayoacha kila siku uangalie tofauti yake. Kwanza vitu vingine vitakwenda mpaka wiki ya pili kabla havijaisha hapo ndiyo utajua unalizwa kwa kiasi gani.

Pia mchunguze mwenzio anapokuwa nyumbani anafanya nini zaidi. Maana inawezekana unatunza familia mbili au zaidi kwa kutokuwa karibu na mwenzio. Wakati mwingine nenda kazini omba udhuru urudi nyumbani muda ambao siyo kawaida yako kuwepo utajua mengi na kujua pengine pesa yako inakwenda wapi.

Wanaume mengine hawatoi mahitaji kwenye familia zao lakini wanadai kula vizuri, itakuwa wewe ambaye ni haki yako? Fanyia kazi ushauri huo then utajua kinachoendelea ndani yake.
 
Wenzio tunaachaga buku mbili tunakuta kuku roast daily.Embu na wewe jaribu mkuu.

Unashangilia kuacha buku 2 ukala kuku nawe jiangalie maana itakuwa ile ya kisa cha mpemba. Maana atakuwa na bwana muuza gengi, kuku na mkaa. Mnasaidiana matumizi na mahitaji ya familia. Pole kwa kutojitambua ndugu.
 
Nianze na kukupa pole kwa yote unayokutana nayo. Unaonekana una nia ya kujenga familia ilia unayejenga naye hajitambui nafasi yake katika familia hiyo.

Tafuta siku moja ya Jumamosi kanunue mahitaji ya wiki yanayolingana na pesa unayoacha kila siku uangalie tofauti yake. Kwanza vitu vingine vitakwenda mpaka wiki ya pili kabla havijaisha hapo ndiyo utajua unalizwa kwa kiasi gani.

Pia mchunguze mwenzio anapokuwa nyumbani anafanya nini zaidi. Maana inawezekana unatunza familia mbili au zaidi kwa kutokuwa karibu na mwenzio. Wakati mwingine nenda kazini omba udhuru urudi nyumbani muda ambao siyo kawaida yako kuwepo utajua mengi na kujua pengine pesa yako inakwenda wapi.

Wanaume mengine hawatoi mahitaji kwenye familia zao lakini wanadai kula vizuri, itakuwa wewe ambaye ni haki yako? Fanyia kazi ushauri huo then utajua kinachoendelea ndani yake.
asante ndugu,hayo ndo mawazo chanya yenye vina,inaonesha unaukomavu na haya masuala asante sana
 
Mkaa makopo mawili buku 3 kwa mwezi 90,000/= kwa miezi mitatu 270,000, watu mpo wawili mnatumia mkaa wakati ela ya kutumia mkaa miezi mitatu unanunua jiko la gas na mtungi wake ambao unautumia miezi mitatu mpaka na kuchemsha maji ya kuoga, maharage na makande na bado 70,000 inabaki akiba kwa kununua gas ikiisha ambayo utatumia miezi 3 mingine.

Mkuu umenena, jamaa huyu na mwanamke wake mi nawaona wote mabwege!! Yaani ana uwezo wa kuacha 15,000 daily afu atumie mkaa?Thats nonesense kwanza modern women sku hizi wanatumia gas bwana mkaa kuchafuana kucha tu!:dance:
 
Mkuu umenena, jamaa huyu na mwanamke wake mi nawaona wote mabwege!! Yaani ana uwezo wa kuacha 15,000 daily afu atumie mkaa?Thats nonesense kwanza modern women sku hizi wanatumia gas bwana mkaa kuchafuana kucha tu!:dance:[/QUOTE WALIMWEUSI,kunasehem nimeandika natumia mkaa?au unapayuka tu
 
Last edited by a moderator:
Hahaha umenichekesha sana! Siku naeleweshwa kuhusu vikoba hadi walikasirika. Manake sielewi lolote. Zile ni outing tu za wanawake aisee, ukijiwekea kwenye account moja some amount weekly na ukaamua huitumii si unakuwa na kikoba chako?
Umeona eeh!
Na hapo ukute anavyo vitatu au majina matatu katika hicho kimoja (kwa kuwa havina 'limited access') halafu kila jina analipandia Tzs 5,000.
Wapi hapo hela ya mahanjumaat? Thubutu............
 
Nianze na kukupa pole kwa yote unayokutana nayo. Unaonekana una nia ya kujenga familia ilia unayejenga naye hajitambui nafasi yake katika familia hiyo.

Tafuta siku moja ya Jumamosi kanunue mahitaji ya wiki yanayolingana na pesa unayoacha kila siku uangalie tofauti yake. Kwanza vitu vingine vitakwenda mpaka wiki ya pili kabla havijaisha hapo ndiyo utajua unalizwa kwa kiasi gani.

Pia mchunguze mwenzio anapokuwa nyumbani anafanya nini zaidi. Maana inawezekana unatunza familia mbili au zaidi kwa kutokuwa karibu na mwenzio. Wakati mwingine nenda kazini omba udhuru urudi nyumbani muda ambao siyo kawaida yako kuwepo utajua mengi na kujua pengine pesa yako inakwenda wapi.

Wanaume mengine hawatoi mahitaji kwenye familia zao lakini wanadai kula vizuri, itakuwa wewe ambaye ni haki yako? Fanyia kazi ushauri huo then utajua kinachoendelea ndani yake.

Umemaliza kila kitu... kaka nenda nae shopping mnunue sukari, mchele, unga, sabuni, nyama, mafuta na vitu vikubwa vikubwa wekeni ndani. Kisha acha sio zaidi ya buku 5 kwa siku. Na siku nyingine lia shida uone. Sio kila siku hela zote hutumika, so kuna siku nawe una test zali. Atakuona huishiwi wewe kila siku unazo. Mchoyo utamjua tu utakuta kipapatio kimoja kwenye hotpot lol! Kila la heri
 
ntaja usisahau kuniandalia usipa sawa eee

Mweee unajua hadi usipa ahahahaha?Please nita ku PM likely unayajua mengi kuhusu Kyela yetu au labda hata umefika!!!Usipa ni kinyakyusa cha ndani sana MankaM
 
Last edited by a moderator:
Dogo tu hilo unashindwa ku manage, makubwa sasa mengne itakuwaje?? he we mwanaume kweli??? eti nashindwa kumwambia kisa sijamuoa...hehe unachekesha sana, character ya kwanza ya kuwa mwanaume halisi ni kuweza kusimamia mambo ya nyumbani kwako bila woga, unataka baba ako ndo aje amwambie mkeo apike chakula kizuri??
 
Mkuu umenena, jamaa huyu na mwanamke wake mi nawaona wote mabwege!! Yaani ana uwezo wa kuacha 15,000 daily afu atumie mkaa?Thats nonesense kwanza modern women sku hizi wanatumia gas bwana mkaa kuchafuana kucha tu!:dance:[/QUOTE WALIMWEUSI,kunasehem nimeandika natumia mkaa?au unapayuka tu
Mr mgeni, Uzi wako una comment nyingi mengine huwezi yaona, comment ya WALIMWEUSI ilikuwa ime-base kwa comment ya sunshow hapo chini
icon1.png
Re: Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa

quote_icon.png
By Sunshow
Ngoja tufanye hesabu kidogo yawezekana bibie yuko sahihi maana inawezekana ndani kila kitu ni cha kununua. Karibia sehemu nyingi Dar hali ni hivi.

Mkaa kopo mbili = 3000
Mafuta ya kula kopo mbili = 1000
Nyanya fungu moja = 500
Nazi moja = 700
Unga kilo = 1000
Maharage kilo = 2500
Maji ndoo tano = 500
chumvi = 500
Mkate = 800
Sukari nusu kilo = 1000
Sabuni ya unga = 1300
Sabuni ya kuoga = 500
Kiberiti = 100
Vitunguu = 500
Pilipili hoho = 500
Karoti = 500
Limau = 200

Jumla unapata 15,100. Hii ndiyo hali halisi kwa chakula cha ugali maharage.

​
 
Last edited by a moderator:
Dogo tu hilo unashindwa ku manage, makubwa sasa mengne itakuwaje?? he we mwanaume kweli??? eti nashindwa kumwambia kisa sijamuoa...hehe unachekesha sana, character ya kwanza ya kuwa mwanaume halisi ni kuweza kusimamia mambo ya nyumbani kwako bila woga, unataka baba ako ndo aje amwambie mkeo apike chakula kizuri??
kwa upande wako ni dogo ila kwa upande wangu mimi ni kubwa na elewa kwamba kila binadam ana matatizo yake na kila mmoja anachukulia tatizo lake kwa uzito anaoujua yeye,alafu kingine regebisha kauli yako usipende kufyetuka hovyo be the wise man.
 
Umaskini huwa tunautaka wenyewe, kama una uwezo wa kuacha daily 15,000 kwanini msiwe mnanuua vitu vya jumla?, mwanamke yupo sawa maana unapomwachia hiyo 15,000 mwenzako anajua buku 10 ni ya taxi kwenda sokoni alafu 5000 ananunua dagaa (si unajua dagaa wa kigoma walivyo na bei)

Hahaha....hapa jf pana raha sn aisee......inabidi turejee kwa jamaa wanajiita weusi wanakwambia "nataka mwanamke wa kinyakyusa akirudi anakuuliza umeingiza sh ngapi"?
 
napenda kinyakyusa jaman looo!!

Nimejitolea kukufundisha bure and I will flow according to ur time table!If are you real interesting to know my mother tongue vernacular pls PM me ur number!

Let semester start through Watsap bana ahahahahaha!Nipo Mbagala Kibonde Maji!
 
Back
Top Bottom