Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa

Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa

sabuni ya kuogea inanunuliwa daily? familia watu 20?
Mr mgeni, Uzi wako una comment nyingi mengine huwezi yaona, comment ya WALIMWEUSI ilikuwa ime-base kwa comment ya sunshow hapo chini
icon1.png
Re: Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa



quote_icon.png
By Sunshow
Ngoja tufanye hesabu kidogo yawezekana bibie yuko sahihi maana inawezekana ndani kila kitu ni cha kununua. Karibia sehemu nyingi Dar hali ni hivi.

Mkaa kopo mbili = 3000
Mafuta ya kula kopo mbili = 1000
Nyanya fungu moja = 500
Nazi moja = 700
Unga kilo = 1000
Maharage kilo = 2500
Maji ndoo tano = 500
chumvi = 500
Mkate = 800
Sukari nusu kilo = 1000
Sabuni ya unga = 1300
Sabuni ya kuoga = 500
Kiberiti = 100
Vitunguu = 500
Pilipili hoho = 500
Karoti = 500
Limau = 200

Jumla unapata 15,100. Hii ndiyo hali halisi kwa chakula cha ugali maharage.



​

hahaha, kwa kweli hii ni funga kazi. unaweza kushangaa mentality za watu hadi ukachoka.
Kongosho, Jerrymsigwa muje hapa tafadhali
ukisikia post of the year jf ndo hii lol
King'asti snowhite OLESAIDIMU Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Braza huyo aliesema hayo ni mwanaume? i thought ni mwanamke! kama ni mwanaume na ana dada watatu oa wote afu unaacha hiyo amout daily hahahaha. watalima lile shamba lako la kigamboni hadi mradi wa satelite city ufike hahaha
Mr mgeni, Uzi wako una comment nyingi mengine huwezi yaona, comment ya WALIMWEUSI ilikuwa ime-base kwa comment ya sunshow hapo chini
icon1.png
Re: Naacha buku 15 daily nakuta ugali na dagaa



quote_icon.png
By Sunshow
Ngoja tufanye hesabu kidogo yawezekana bibie yuko sahihi maana inawezekana ndani kila kitu ni cha kununua. Karibia sehemu nyingi Dar hali ni hivi.

Mkaa kopo mbili = 3000
Mafuta ya kula kopo mbili = 1000
Nyanya fungu moja = 500
Nazi moja = 700
Unga kilo = 1000
Maharage kilo = 2500
Maji ndoo tano = 500
chumvi = 500
Mkate = 800
Sukari nusu kilo = 1000
Sabuni ya unga = 1300
Sabuni ya kuoga = 500
Kiberiti = 100
Vitunguu = 500
Pilipili hoho = 500
Karoti = 500
Limau = 200

Jumla unapata 15,100. Hii ndiyo hali halisi kwa chakula cha ugali maharage.



​

Sasa tutapimaje kaka!!!!???
 
My dada King'asti iko haja..........kabisa maana heshima inashuka hivi hivi!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Braza huyo aliesema hayo ni mwanaume? i thought ni mwanamke! kama ni mwanaume na ana dada watatu oa wote afu unaacha hiyo amout daily hahahaha. watalima lile shamba lako la kigamboni hadi mradi wa satelite city ufike hahahammmmm...
 
kwa upande wako ni dogo ila kwa upande wangu mimi ni kubwa na elewa kwamba kila binadam ana matatizo yake na kila mmoja anachukulia tatizo lake kwa uzito anaoujua yeye,alafu kingine regebisha kauli yako usipende kufyetuka hovyo be the wise man.

Dont take it too emotional, ila kuna swala huna, kama "mwanamke" wako mwenyewe huwezi kumface kumuuliza kwanini anakulisha dagaa kila siku unawezaje kumface bosi wako kumuomba increment ya mshahara?? nilikuwa namaanisha kama hivi vidogo vinakushinda kuwa na uwezo wa maamuzi inakuwaje katika mambo makubwa?? jijengee uwezo wa kutoa maamuzi mmapema hasa katika vitu hivi "vidogo" inakujengea maamuzi ya kuamua mambo "makubwa" zaidi, kama unaichukulia kama challenge itakusaidia ila kama unachukulia nime"fyetuka" kama ulivyosema nitakuwa na shaka na uwezo wako wa kung'amua mambo.

Namalizia kufyetuka tena: Mboga tu nyumbani ikushinde, tukikupa ofisi usimamie mambo ya umma si utalia machozi kabisa??? Poor Tanzania..
 
Nimejitolea kukufundisha bure and I will flow according to ur time table!If are you real interesting to know my mother tongue vernacular pls PM me ur number!

Let semester start through Watsap bana ahahahahaha!Nipo Mbagala Kibonde Maji!

ugwe ilekcha jha wasapu une ngajapo ku wasapu
 
ugwe ilekcha jha wasapu une ngajapo ku wasapu

Chobha si syakompangila bhibhi asatosye ompopa!!
Anyway nipe namba hiyo hiyo isiyo na watsap nitakuwa nakupigia nakufundisha kwa njia ya mazungumzo lol!
 
hujamuoa, anakaa kwa mashaka, huyo ana akili anaweka akiba yake ya uzeeni kisha kuona huna dalili za kuoa wewe.
Habari zenu wana JF, Nimevumilia vya kutosha hii tabia sasa naona itakua imefika kikomo.

Naishi na mpenzi wangu hatujafunga ndoa tatizo nashindwa kumuelewa kila siku niendapo kazini na kurudi jioni lazima nimuachie elfu kumi na tano 15,000/-kusudi nikirudi jioni nikute mezani kumependeza nadhani mmenielewa cha ajabu jamani nakuta ugali na dagaa akibadili sana tembere kaomba kwa jirani.

Huu ni ungwana jamani? kumuambia nashindwa naona kama takua naingilia mambo ya jikoni ambayo hayanihusu na nisipokula huo ugali ananuna.

Sielewi nifanyeje wana JF
 
Dont take it too emotional, ila kuna swala huna, kama "mwanamke" wako mwenyewe huwezi kumface kumuuliza kwanini anakulisha dagaa kila siku unawezaje kumface bosi wako kumuomba increment ya mshahara?? nilikuwa namaanisha kama hivi vidogo vinakushinda kuwa na uwezo wa maamuzi inakuwaje katika mambo makubwa?? jijengee uwezo wa kutoa maamuzi mmapema hasa katika vitu hivi "vidogo" inakujengea maamuzi ya kuamua mambo "makubwa" zaidi, kama unaichukulia kama challenge itakusaidia ila kama unachukulia nime"fyetuka" kama ulivyosema nitakuwa na shaka na uwezo wako wa kung'amua mambo.

Namalizia kufyetuka tena: Mboga tu nyumbani ikushinde, tukikupa ofisi usimamie mambo ya umma si utalia machozi kabisa??? Poor Tanzania..
My braza Don Mangi wewe ni mgumu wa kuelewa nadhani hata shule ulikuwa mzigo kwa walimu it's extremely for the same side I mean your capacity for remembering and understood facts is low elewa kwamba sikumuo ni sawa na mmea nilioupanda kwenye ukame ambapo lazima uhitaji maji ili uweze kumea na kukua vizuri kama usipomwagiliwa maji lazima utakauka,swali langu ni kwamba mmea huu na umwagilia
aji na mbolea naweka lakini bado unakauka solution yake ni kutafuta sababu inayofanya kukauka kwa mmea sio kuung'oa na kuupanda mwingine unaweza ukapanda mwingine na bado mambo yakawa vilevile.My self I know the good relation is good for life,so it make a real good and fantastic relation to others.Alafu suala la boss na mwajiriwa kama ulivyotoa mfano ni vitu viwili tofauti boss kakuajiri kutokana na vyeti vyako vilivyo na viwango vya kuridhisha huwezi shindwa kumuambia chochote boss wako akikuzingua na wewe unamzingua usiwe complicated ndugu.jiulize ukiwa na mpenzi umemuweka ndani yupo hapo kama nan?na anamamlaka gani?na wewe unamalaka gani juu yake?na unapotaka kumvutia mpenzi wako kabla hajawa mke wako umfanyie nn?
Bado bwanamdogo nakuambia acha kupayuka elewa kwamba ku judging the person else not define who they are it define who you are.acha kufyetuka hovyo
 
Last edited by a moderator:
mkuu hayo mahesabu nilishapiga kitambo nilikuwa nikimpa hiyo pesa ili kumvutia asinione bahili sasa nimechoka natoa pesa nyingi alafu sifaidiki na chochote tatumia diplomatic gan
,,, hufaidi nini wakati kila siku unamla ngoma wewe.....nenda sokoni mwenyewe mbwiga wewe,,,,kwanza wacha uzinzi muoe kama kweli wataka kumfaidi....hapo mchana kuna kijeba kinatimba na kupata mambo...wewe wakuta viporo jioni....
 
Back
Top Bottom