Na urembo wake wote anagawa papuchi bure

Na urembo wake wote anagawa papuchi bure

ndio maana nawapenda sana wanawake wachapakazi hata mkija kuishi wote unajenga familia iliyobora kuliko kuwa na mwanamke mpenda vigodoro kazi hataki hata wazo la kujishughulisha hana anawaza wapi atapatwa bwana mpya hayo ni mawazo finyu sana,mwanamke ukijutuma hakika utatoboa bila ya kumtegemea mwanaume kwasasa nyakati zimebadilika pambaneni msiendekeze vya dezo
na hayo yote tulia oa sio unataka mechi za mchangani na kulipia huwezi umfuje nani hivihivi?
 
Kwahiyo angekuwa anakigawa kwa pesa ni sahihi??
Hivi kwanini watu huwa wanaolewa au kuoa ikiwa bado hamjamaliza upuuzi!!
 
Kwahiyo angekuwa anakigawa kwa pesa ni sahihi??
Hivi kwanini watu huwa wanaolewa au kuoa ikiwa bado hamjamaliza upuuzi!!
kuolewa au kuoa siyo ndiyo tiketi ya kuacha kutafuna papuchi za nje!
 
Jamani sisi hatuuzi wala kutoa kiungo chetu hiki maana sijawahi ona eti mtu kauziwa halafu kaondoka nacho. Ukinunua kitu si lazima uondoke nacho??! Sasa cc hatujawahi gawa kitu yetu ikatoka nje ya mwili
 
kuna mdada bwana ni mke wa mtu yuleee alieniachia mtoto akaenda kugegedwa!
nilimuambia mimi hayo mambo sitaki akaachana na yule jamaa maana baada ya kumdadisi kumbe jamaa alikuwa hampi hata mia pia ni majirani ingeleta noma .
mimi nikajua ametulia bna kumbe baado analiendeleza kapata bwana mwingine sijui wapi eti anadai anataka kumuoa.nimemuuliza vepe jamaa anakulea lea mjini akadai ooh sijawai kumuomba hela na yeye hajanipa sema alinipa elf kumi ya bajaji kurudi nyumbani siku moja.nikamuuliza sasa mahusiano yenu yapoje akadai anampenda jamaa na yeye jamaa anampenda sana. nikamuambia aya bwana mjini hapa .
mume wake nae ana michepuko yaani katika ndoa yao ipo kwenye usajili ila wanachokifanya wanajua wenyewe.

sasa tujiulize wanawake wenzangu umeolewa una watoto tena wadogo kabisa sawa mume kawa hasomeki ,na wewe na uzuri wako unaanza kukutembeza bila malipo eti ni upendo .kuna mwanaume atakupenda mke wa mtu kweli? tena anakugegeda hotelini huko umeacha vichanga nyumbani unakunywa pombe unavuta hadi sigara? utakuwa una thamani yoyote kweli .
hata kama mume ni mbaya usijitese na dunia maana utamaliza wanaume wote ni walewale yaani wanaume wote wanafanana mwanzo mwisho. bora ukae benchi kama kina sisi maana ni kujitesa tu.

Acha kudanganya uma mkuu,wanaume wa Dar wanafanana na nani???.......Hebu tutake radhi please!
 
Back
Top Bottom