joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,049
HahahahAnamvutia speed aanze kumpiga vibom si unajua town hapa hela tunazipenda lakin tunaogopa kuomba maana madume ya siku hizi ukiliomba hela mapema tu umelikimbiza so unalivutia pumzi unajifanya huna mpango na vijihela vyake ila siku ukimzibua ni kuanzia laki 3
Ukiomba wakati ushatoa mzigo huoni kama ni rahisi kukimbiwa?
