Na urembo wake wote anagawa papuchi bure

Na urembo wake wote anagawa papuchi bure

hakuna faraja yoyote kwenye dushe mkuu! mwanaume hana faraja yoyote maisha ni yako mwenyewe ups &downs ni zako mwenyewe usimuamini mtu
Hahahahah

Sasa kama anachengwa bila kupewa hela unafikiri huwa anafata nini kama siyo faraja?
 
kuna mdada bwana ni mke wa mtu yuleee alieniachia mtoto akaenda kugegedwa!
nilimuambia mimi hayo mambo sitaki akaachana na yule jamaa maana baada ya kumdadisi kumbe jamaa alikuwa hampi hata mia pia ni majirani ingeleta noma .
mimi nikajua ametulia bna kumbe baado analiendeleza kapata bwana mwingine sijui wapi eti anadai anataka kumuoa.nimemuuliza vepe jamaa anakulea lea mjini akadai ooh sijawai kumuomba hela na yeye hajanipa sema alinipa elf kumi ya bajaji kurudi nyumbani siku moja.nikamuuliza sasa mahusiano yenu yapoje akadai anampenda jamaa na yeye jamaa anampenda sana. nikamuambia aya bwana mjini hapa .
mume wake nae ana michepuko yaani katika ndoa yao ipo kwenye usajili ila wanachokifanya wanajua wenyewe.

sasa tujiulize wanawake wenzangu umeolewa una watoto tena wadogo kabisa sawa mume kawa hasomeki ,na wewe na uzuri wako unaanza kukutembeza bila malipo eti ni upendo .kuna mwanaume atakupenda mke wa mtu kweli? tena anakugegeda hotelini huko umeacha vichanga nyumbani unakunywa pombe unavuta hadi sigara? utakuwa una thamani yoyote kweli .
hata kama mume ni mbaya usijitese na dunia maana utamaliza wanaume wote ni walewale yaani wanaume wote wanafanana mwanzo mwisho. bora ukae benchi kama kina sisi maana ni kujitesa tu.
Umesema kweli Miss natafuta maana siku zote wanaume huwa wana fanana tabia kiasi fulani.
Huyo nafikiri bado hawajasoma wanaume vizuri.
Mtaka vyote hukosa vyote, atapigwa mimba na huku mme wake akigundua atamtelekeza na km hana ustaraabu ataleta mke hapo hapo.
Mwambie huyo mwanamke atulie sbb hawezi kushindana na mwanaume.
Km ana kazi yake aendelee kukimbizana na wanaume ila km ni golikipa yaan hana kazi ataumia sana.
 
Hahahahah

Sasa kama anachengwa bila kupewa hela unafikiri huwa anafata nini kama siyo faraja?
ahahaaa faraja gani kwanza kijishushia utu na heshima yako ? ukirudi home unaangaliaje jamaa na watoto halafu hata mia hujapewa?
 
Eti mpaka hela,wanawake bhana.......wamekuwa wafanyabiashara wazuri
kama na hela ujue hatuwi wapenzi wala hakuna future tukisex nimekulipa hakuna kujuana hapo its okey ila siyo nakulipa kesho unalia shida ntakutoa nduki
 
Umesema kweli Miss natafuta maana siku zote wanaume huwa wana fanana tabia kiasi fulani.
Huyo nafikiri bado hawajasoma wanaume vizuri.
Mtaka vyote hukosa vyote, atapigwa mimba na huku mme wake akigundua atamtelekeza na km hana ustaraabu ataleta mke hapo hapo.
Mwambie huyo mwanamke atulie sbb hawezi kushindana na mwanaume.
Km ana kazi yake aendelee kukimbizana na wanaume ila km ni golikipa yaan hana kazi ataumia sana.
nilishamueleza mkuu ,tena nikamuambia hayo maamuzi unayofanya fanya yenye manufaa basi hata haelewi anagawa tu bure mkuu
 
Anastress huyo alafu anaamini chululuu ndiyo suluhisho pekee.
fala sana mkuu .huwa nina uchungu sana kuona jinaume linafaidi kwenye mwili wangu wakati shukrani hawana .natamani anielewe ila ni mbinafsi sana
 
Back
Top Bottom