Na ninyi mmeisoma namba

Wakuacha

JF-Expert Member
May 19, 2015
2,031
2,000
Habari wana JF,

Sitoenda moja kwa moja ila ntakuwa mmeelewa, ndugu zangu kwanza poleni sana nasikia na ninyi mmeisoma namba. Ile ya kuanzia 0 mpaka 9.

Mlipewa matumaini mengi mazuri yenye kuwalevya mkapasuka vichwa mkaweka taswira pana ndani ya vichwa vyenu, kwa kuwa sasa mshajua ninyi ni daraja la mwisho.

Ila mkifanya kitu hivi watajua kuwa na ninyi mnastahili kuwa daraja la kwanza ila poleni sana labda niwapongeze tu mmeonesha uzalendo, lakini uzalendo wa kunung'unika kwa chini chini na ambao umewafanya muwe wanyonge?

Poleni sana.
 

kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,045
2,000
Kuisoma namba namna gani...?? Sababu hujaongezewa kitu katika mshahara au kodi zimekubwa au rushwa hampokei tena .....???
 

Feeling Haillee

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
205
225
Na msiomwelewa mkuu mtaendelea tuu kuisoma namba....., cc tunamwelewa na tunakula nchi. Hela ya korosho tunanunua soda na kunywesha mbuzi pia kujenga Nyumba za kisasa....!. KARIBIN NTWARA MJE KUONJA UTAMU WA MSOMESHA NO.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom