Na mi naolewa hivi karibuni

Na mi naolewa hivi karibuni

misnomer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
203
Reaction score
69
3.jpg


View attachment 53209
































Ni kwenye gazeti la SANI la wiki hii kuhusu mtangazaji Lulu Semagongo 'Anti Lulu' anayeshikilia Taji la Kimwana Manywele Twanga Pepeta mwaka 2006.
 
Hivi umesema anaolewa au ANALEWA KARIBUNI???
 
Nimependa hao twins ktk first pic. (el oo el) japo sura ni 1/10.
 
mtoto katulia, kifua safi, paja paja, kalio usiseme. mwenzetu atafaidi kitu.
 
aahh....mimi nilifungua thread kwa furaha nikitegemea kuona namna ya taratibu za kuchangia harusi ya misnomer...kutokana na heading....aaah kumbe eti ni lulu...😛uke:
 
Last edited by a moderator:
aahh....mimi nilifungua thread kwa furaha nikitegemea kuona namna ya taratibu za kuchangia harusi ya misnomer...kutokana na heading....aaah kumbe eti ni lulu...😛uke:

Pole, nilisahau kuweka vifunga na vifungua semi.
 
Tunajitafutia laana wenyewe!Mwanamke anajiweka katika hali hiyo wakati Vitabu vitakatifu vimeelekeza wajisitiri.Hapa pana mambo mawili: Kwanza yupo uchi,pili anatangaza ulevi ambao ni Mama wa maasi.Huu ni msiba!
Ndoa ni kitu kilichoasisiwa na Muumba wetu,sasa watu wanakifanyia mzaha an mwisho wake hua ni mbaya.
kwa picha hii matokeo ni watoto haramu wasiyemjua baba yao,malalamiko na lawama,ikiwa ni mara baada ya ibilisi kumtoka mwanamke huyu na kurudi katika hali ya kawaida,huwa mara nyingi ni MAJUTO!!
 
jamani wanaume mmnakazi.............sijui kama anayemweka ndani anayajua haya.................... ambao bado jamani kuweni macho
 
Wanaume majambazi, wanabeba kila scrap....
 
Back
Top Bottom