Na huyu ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na huyu ni nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 3, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 3, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Ka nzi.. kameibukia NY na kamenitaarifu juu ya ugeni wa Sajaad A Ismail. Huyu ni nani na kuna haya yoyote ya kujua au nipuuzie?
   
 2. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hapa sio utamu.....uliza hako ka-nzi kako aka data collector. Kama hakajui ni kadaku! bwa ha ha ha ha haa!
   
 3. Kaduguda

  Kaduguda JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2009
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 667
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  Uwiano Maalum nadhani hii si namna au njia nzuri ya kumjibu mtu unless una bifu na MKJJ!!

  Ni mtazamo wangu tu!
   
 4. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu why upuuzie.....ka nzi kachukue uamuzi wa kupuuza kakishajiridhisha kuwa huyo jamaa is just ''Joka la kibisa''....halina madhara...haling'ati!

  Otherwise....ka do the needful!
   
 5. Y

  YE JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Babu beef kila mda, kunywa chill pill!
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jun 3, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Si nilikwambia...beef/ligi mode 24/7....
   
 7. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2009
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mzee;

  Tumeshakaa mkao wa kula. Hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe . . . .

  Je spelling za jina ziko sawa?
   
 8. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Sio beef...inaitwa stimulus package, kazi haziendi hadi stimuli, na kama zitaenda basi ni utumbo mtupu.

  Sinywi chill pill kwa sababu sitaki 'thanks' wala sihitaji kuambiwa 'tuko pamoja'.

  Stimulus package huitaki, iweke kwenye 'ignore list' bwa ha ha ha ha haaaa!
   
 9. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  FMES atakuwa role model wako, kuanzia kwenye font na hiyo bwa ha ha ha -IMHO
   
 10. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  IMNSHO....acha kujikombakomba ili upate kipoozeo 'safi sana, tuko pamoja'
  bwa ha ha ha!
   
 11. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Mie nimejibu hivyo, na wewe weka jibu lako zuri hapo.


  Kwa taarifa yako ni kwamba sikopeshi, muulize baharia jinsi ninavyomdunda mamsap hadi napelekwa polisi, namdunda kwa upuuzi kama huu, bwa ha ha ha ha ha ha!
   
 12. Y

  YE JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naona, kaazi kweli kweli.
  Halafu utakuta ni mtu mzima kabsaaa...
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Jun 3, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  sina uhakika.. si unajua mambo ya kusikika kwenye simu; ila la katikati nina uhakika nalo.
   
 14. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Duh, the world is full of surprises, ugly surprises - NY ? Ndipo wakusanyapo tai ?. Incidence, coincidence or enemy action - who knows but Ka nzi who has this habit of poking its nose wherever there's dirt - sasa je, ataandaliwa zulia jekundu ? Tukae tusubiri.
   
 15. M

  MathewMssw Member

  #15
  Jun 4, 2009
  Joined: Mar 27, 2009
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe nafikiri ni CCM kwani majibu yako ni ya kizamani, nafikiri unapashwa kupelekwa kwenye maombezi! huenda una mapepo! nitakuombea uache hiyo bifu!
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Udaku wa hii uliishia wapi? iliwashinda?
   
Loading...