Na alaniwe kila atoae mimba isemwe ameen.

MUNGU atusamee sana kwa kuwa tulifichwa ufahamu!
roho mtakatifu tuongoze tuachanane na hili
 
daah nimekuwa down mno kwa kuona hii pic, just more info please, huyu inaweza kuwa ni kiumbe wa miezi mingapi? maana ni binadamu kabisa aliyekamilika na natafakari na kuelewa kuwa watu wanaposema mtoto akiwa tumboni kwa mama yake anasikia na kuelewa kama unaongea nae na anaumia na kufurahi yaania anakuwa na hisia zote kama binadamu maana hapo ni full binadamu

itakuwa kati ya mwezi wa 4-5 , ila sidhani kama unaweza kuinduce abortion halafu kitu kikatoka kipo intact namna hiyo.
 
Kwa kweli is too bad. aliyefanya hivi na atubu toba ya kweli tena kwa maisha yake yote awe mwema kwa wanadamu huenda mungu akamsamehe, vinginevyo sihukumu lakini hii ngumu kumeza kwa mwanadamu wa kawaida.
 
Hii mimba changa ilivyokuwa inanifanya wakati mke wangu akiwa mjamzito angeitoa nadhani na mimi ningekufa, nilihaugua sana tiba yangu ilikuwa pop corn mpakwakanifahamu wauzaji wote hapa mjini.
 
Back
Top Bottom