Ninajivunia wewe uliyeweza kusimama imara baada ya kupewa mimba na kutelekezwa na mtu uliyempenda

mr vata

JF-Expert Member
Jan 30, 2017
462
605
Ninawaheshimu sana wanawake waliopewa mimba na mtu waliempenda na kwa bahati mbaya wakaachwa na baba wa mtoto huyo. Ninawaheshimu sana wanawake hawa kwa sababu ni mtu mwenye akili timamu tu ndiye angeweza kusimama tena baada ya kuachwa na mtu ambaye alimuamini.

Ikiwa hakuna mtu ambaye amekuambia hii leo, ninajivunia sana kila kitu unachofanya kama mama pekee.
 
Kuzalishwa na kukimbiwaa mara nyingi wanawake wanajisababishia wenyewe.
  1. Kupenda mabishoo na wahuni huku wakiwakataa wastaarabu wanaowataka waweke ndani kwamna hawana swaga. Mwisho wanaishia Kuzalishwa na hao wenyeswaga na kutelekezwa. Wanawake wengi wanapenda kuangalia Class hawapendi Form, wanasahau class is temporary n form is 4ever
  2. FB_IMG_17100521157539305.jpg
 
  2. View attachment 2935116
Sasa hapo analaumiwa mwanamke, au mwanaume aliyeshindwa kutekeleza majukumu yake?

Wanaume wanatelekeza mimba kisa 'swaga'?

Aisee, una katatizo.
 
Ninawaheshimu sana wanawake waliopewa mimba na mtu waliempenda na kwa bahati mbaya wakaachwa na baba wa mtoto huyo. Ninawaheshimu sana wanawake hawa kwa sababu ni mtu mwenye akili timamu tu ndiye angeweza kusimama tena baada ya kuachwa na mtu ambaye alimuamini.

Ikiwa hakuna mtu ambaye amekuambia hii leo, ninajivunia sana kila kitu unachofanya kama mama pekee.
Jichanganye Umuoe uone virahisi kurudiana na aliyemterekezea mtoto, hawa viumbe duu.

K akili kisoda
 
Ninawaheshimu sana wanawake waliopewa mimba na mtu waliempenda na kwa bahati mbaya wakaachwa na baba wa mtoto huyo. Ninawaheshimu sana wanawake hawa kwa sababu ni mtu mwenye akili timamu tu ndiye angeweza kusimama tena baada ya kuachwa na mtu ambaye alimuamini.

Ikiwa hakuna mtu ambaye amekuambia hii leo, ninajivunia sana kila kitu unachofanya kama mama pekee.
Yeah we salute them,
Kuna watu watasema kuwa wamezingua, lakini tutofautishe haiba na mahusiano yenu na majukumu ya kulea.
Hata kama msichana anazingua, sio sababu ya kumnyima matunzo mtoto wako mwenyewe.
And yes Mungu hapendi, lakini hamhukumu mtoto ambaye hana hatia. And the kid has needs still...
 
Ninawaheshimu sana wanawake waliopewa mimba na mtu waliempenda na kwa bahati mbaya wakaachwa na baba wa mtoto huyo. Ninawaheshimu sana wanawake hawa kwa sababu ni mtu mwenye akili timamu tu ndiye angeweza kusimama tena baada ya kuachwa na mtu ambaye alimuamini.

Ikiwa hakuna mtu ambaye amekuambia hii leo, ninajivunia sana kila kitu unachofanya kama mama pekee.
Kamwe,
Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake, ni binadamu tu 🐒
 
Back
Top Bottom