Mzunguko wa pili wa NBC Premier League walipokaa kileleni walitamba mno mbona sasa mzunguko wa nne wako kimya?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,028
Tafadhali naomba mwenye Jedwali la Msimamo wa Ligi Kuu yetu ya NBC aniwekee hapa tafadhali ili tujikumbushe na tusisahau au tusijisahaulishe kwa Makusudi.
 
Back
Top Bottom