Za leo jamani, mimi natabia moja sijui ni mbaya au la naombeni mnishauri. Kwa kweli Mr. kunikasirisha au kunuka pombe nilazima nilae mzungu wa nne ndopo ninapopata usingizi. Je mlalo huu ni mbaya mnapokuwa mmeudhiana na kama mwenza hana time yakujua what is the problem?
mmh unanitia wasi wai kama ulivoolewa na huyo mumeo ulimpenda kwa dhati kweli?
je ulimwambia kuwa hupendi 'mudomo unaonuka'|"? kwa sababu ya pombe..
katika hali yeyote kulala mzungu wa nne ni ishara kuwa penzi lenu tayari lina kasorona si ajabu ni kubwa kuliko hiyo harufu unayozungumzia.
jitafiti mwenyewe kujua kiini hasa ni nini kisha ulijadili na mwenzio
Tena nilimpenda kwa moyo mmoja, ila kumekuwa na mabadiliko makubwa sana toka anioe. Ilibidi nilalae mlalo huo maana hanipi mashamsham ya mapenzi. Kwa ujumla nimejikuta sina tena hisia naye. Nampenda mpaka kesho. Ila nafsi imegoma kabisa.
Uvumilivu ni bora zaidi hata yeye kuna kaharufu huwa anakuvumilia halafu yeye ni mbaya zaidi kwani ya kwako ni eternal. Just joking but be patient and considerate; harufu haiwezi kukudhuru.
Huna maana na wewe, kama nadhurika silali nivumilie tuu then baadaye nile mbichi! atanisaidia ntakapokuwa nakula mbichi?
Huna maana na wewe, kama nadhurika silali nivumilie tuu then baadaye nile mbichi! atanisaidia ntakapokuwa nakula mbichi?
Uzuri wa mtandao na JF kwa ujumla unaweza kuta na huyo jamaa yumo humu humu na anachangia mada kama kawa (wanaosisitiza vumilia tu simmependana... joke)
Penny tusaidiane hapo, Kula mbichi ndio kitu gani?? wengine tumepotea kidogo.
Akiwa ananuka na miguu sasa inakuwaje?Sio nzuri kwani ni mumeo na umempenda penda ana anacho kunywa na kula...sasa kama pombe ni noma na kujamba je?
Au hilo huwa hamfanyi nyie...?Kwani akila mishikaki na beer za uvugu uvungu humo ndani mkilala kwenye shuka moja si asubuhi itakuwa haifiki?
kama hakupi kwa nini wewe usimpe hayo mashamsham jamani Penny? hebu jaribu kumpa hayo mashamsham uone kama hatorespond. Mambo yanaweza badilika.
bora useme wewe mama manake tukisema sisi mmhhh...mwenzio penny anasubiri 'kupewa' tu masham sham....penny upo apo?