Mzungu na mkalimani wa kijiji

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,235
4,949
Mzungu mmoja alifanya Ziara katika kijiji cha KIGONZILE, alipofika kule akawa anawahutubia wananchi huku mkalimani akitafsiri.
Na mazungumzo yao yalikua kama hivi:-
MZUNGU: Before I go Ahead
MKALIMANI: Kabla hajaenda Kichwani
MZUNGU: Yesterday I was in Johnsberg
MKALIMANI: Jana alienda kwenye mfuko wa Yohana
MZUNGU: Then I went to Washngton and Bahama
MKALIMANI: Baadae akaenda kumuogesha Toni na kumvalisha Shati la Bahama

 
mzungu: my name is david livingstone
mkalimani: anasema yeye anaitwa daud jiwe linaloishi
mzungu: i am coming from new york
mkalimani: anasema anatoka kwenye kiini kipya
 
Haa Kuchekesha ni fani za watu jamani,nyie mnafikiri rahisi? Haichekeshi kabisa....JIPANGE TENA
 
Back
Top Bottom