.Daaah kwa hiyo unataka kuniambia haya yote ninayoyaona ni kwamba hayapo ila tu nimefanywa kuyaona hivyo? Hapana! Waafrika tupo nyuma kwenye kila kitu. Najaribu kutazama juhudi zilizotumika wakati wa kudai uhuru na yake yaliyofanywa na viongozi mara baada ya kupata uhuru. Natazama rasilimali tulizo nazo na umasikini tulio nao. WAAFRIKA ni tatizo hapa duniani
kwa hiyo tumegundua nini cha maana wao wakaficha ?
magari ?
ndege ?
au nini ?
Acha ujinga wa kuamini kwamba kuna historia imefichwa
wazungu wanakimbia sisi waafrika tunatambaa
acha kujipa moyo,mbona huyo huyo ndo amekuvumbulia wewe air conditioner ili uweze kukabiliana na joto lako licha ya kuwa yeye kazaliwa kwenye baridi?kubali tu kuna vitu waafrika tumenyimwa...Amezaliwa kwenye baridi kama watu wa kasikazini na kagera
Labda sayansi ya uchawi kwa kuuuwa na kuleta dini. Hapo ntakuelewa.Sayansi inakua kuendana na muda naamini kwa sayansi tuliyokua nayo na tusingeingiliwa leo hii tungekua mbali kwa namna yetu....
Wazungu waliharibu sayansi yetu.
Hahaaa hata shetani tunaminishiwa ni MWEUSI Yaani uweusi ni ushetani jaribu kuangalia matendo yetu. Kitu cheusi ni kitu kisichofaaHuko nchini Ghana kulikua na usemi usemao hivi , ukiwa unaenda kwenye nyumba ya ibada, ukakutana na mzungu njiani basi rudi nyumbani kwa kuwa umekutana na Mungu
hahahahaaa eti fungua tvUkiwachunguza vzr wana masikio makubwa kuliko viumbe wengine wenye rangi tofauti na wao kama hauamini fungua TV yako angalia.
Very true but hopefully we will also get there one daytutaishia kusema hivyo na kulalamika. Hebu tazama Marekani ilitawaliwa na UK, India ilitawaliwa na UK ila leo inauchumi mkubwa, China ilitawaliwa na Japan lakini leo Japan imepitwa mbali Sana, Korea ilitawaliwa na Japan lakini leo ina uchumi mkubwa.
Afrika Ina nchi sisizoonja makucha ya ukoloni lakini bado hali zao ni mbaya mf Ethiopia.
Hahahaacha kujipa moyo,mbona huyo huyo ndo amekuvumbulia wewe air conditioner ili uweze kukabiliana na joto lako licha ya kuwa yeye kazaliwa kwenye baridi?kubali tu kuna vitu waafrika tumenyimwa...
Nakuunga mkono kabisa,sisi ni kuzaa,uchawi na wizi
Sisi weusi ni mashetani angalia hata viongozi wetu ni mashetani kweli we fikiria tu tuna rasimali kibao lakin hazitunufaishi,tunategemea misaada kuna liraisi lililopita liliulizwa kwanini nchi yako maskini na ina rasilimali nyingi likasema halijui
Bora tungewaacha wakoloni wakatutengenezea miji,sie hovyo sana hata akili zetu zinaweza kufanya mambo mepesi mepesi tu aaarghhhhhhhhhhhh
mimi naamini kuwa ni swala la muda tu, Africa tutapiga hatua na kukaribia maendeleo sawa na ya Ulaya, issue kubwa ni kuwa wao walitangulia kupata elimu,maendeleo, kustarabika etc ndio mana vijana wetu wengi wanatamani wawe kama wazungu, naamini na nitaendelea kuhamini kuwa Africa tutaifikia Ulaya katika nyanja kuu zote za uchumi..lakini si Africa hii ya kina Nkurunzinza, Shain, Mugabe etcSalaam..
Wadau naomba kuuliza hivi mtu mweupe ususani mzungu, ananini cha zaida mpaka sisi ma Negro tunafikia kuleta misemo ya ajabu ajabu.
1. Bora kuzaliwa mbwa ulaya.
2. mzungu hazoei njaa.
3. mzungu ukitoa 'z' unapata Mungu.
4. Ulaya hakuna masikini.
5. Ahadi ya kizungu.
Na wengine inafika kipindi mpaka wanasema mzungu akija Afrika hapimi ukimwi lakini waafrika hupimwa maradhi yote, hili mimi siliafiki.
Kuna wakat huwa inabid tuishi kwa fact kuliko hadithi za historia ambazo zina ujanja ujanja mwingi sababu tunatakiwa kukubali tu kuwa tumezidiwa sababu huo upeo wa kuboresha na kuendeleza huo uhunzi na ugunduzi wa kalenda uliishia wapi hadi mtu mweupe akapata upenyo wa kutufikisha hapa tulipo? Huko ndio kuzidiwa kwenyewe katika maarifa ni lazima tuukubali ukweli,Kabla ya Hawa makatili (wazungu) kuja afrika, sayansi ya afrika ilikua juu sana gunduzi mbalimbali ziliendelea, fikiria pyramids zilivyojengwa, uhunzi mbalimbali, ugunduzi wa kalenda, Viwanda vya chuma..... Kuna mambo mengi yanafichwa kwenye historia... Kama mnavyomficha joh okello...
OPEN YOUR MIND.
.
Nakumbuka jirani yetu (very poor people) waliiba mbwa ili wamuuze. Mbwa kakaa hapo kakondeana kaisha na kupata kupe. Wakaona wamtupe. Lakin alikuwa anarudi. Mwishowe wakaamua wamuue. Imagine anambeba mmbwa juu na kumpigiza kwenye sakafu. Nilitoka ndani nikawafwata nikawaambie nipeni huyu mbwa. Nikampigia rafiki yangu ana hobby ya mbwa amchukue. Tukachanga Vet akaenda kumtibu maskini. Kambwa kakaanza na kucheza. Kumbe alikuwa kavunjika uti wa mgongo akafa.
Baadae napewa umbea na housegirl, jirani ananisema nitatoaje 20,000 kumpandisha mbwa Bajaj badala ya kuwapa wao wale. Eti me ni mchawi!!
Unajua kadri muda unavyoenda binadamu anaendelea kukua kifikra. Tukubali tu ukweli kuwa wazungu wametuacha.
Tena hii ya kutreat wanyama ndo wametuacha mbali kabisaa.
Not only wana sheria kali dhidi ya ukatili kwa wanyama, but also wanathamini uhai na uwezo wa wanyama.
Wanaishi na wanyama nyumbani na kuwatunza.
Wana hospitali na foster homes za wanyama.
Imagine kuna madaktari wa upasuaji kwa ajili ya wanyama jamani!
Wakipata mnyama alieumia porini wanamchukua, wanamtibu, wanamrudisha. Sio huku bongo ukiokota kipaka kimeumia unaambiwa "subiri akuongeleshe, embu tupa huo uchawi".
Wana sheria za kutunza species za wanyama.
Wanajifunza tabia za wanyama hadi wanyama tuliowaogopa sasa wanaweza ishi nao peacefully (mf. simba)
Bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko maskini Africa
They do not look down on women.
They are good lovers. *wink * sio wanaume wa jf eti siridhishi tena mwanamke kumbe hajui game maskini
Nilishangaa idadi ya watu waliomtetea huyo mwanaume kuwa ni domo zege!!! Ndo uone jinsi mapenzi yalivyo huku. Kuridhishwa kutoke wapi mtu anachowaza ni atapiga kwa muda gani, doesn't matter at all mwanamke ana fikiria nini.hahahahaha... wakisema wanajua game ujue wanamaanisha kutumia manguvu kama vile wako kwenye karakana/garage ya kutengenezea magari....Hivi inahitaji elimu gani kujua kuwa ile game inahitaji attention zaidi kuliko nguvu?
...housegirl ref: ule uzi wa jana, eti kumuwekea mwenzako madawa ya kulevya na kum-rape ndio kumpenda... Hivi mwanaume wa kizungu yeye angesemaje kwenye hilo?
mimi naamini kuwa ni swala la muda tu, Africa tutapiga hatua na kukaribia maendeleo sawa na ya Ulaya, issue kubwa ni kuwa wao walitangulia kupata elimu,maendeleo, kustarabika etc ndio mana vijana wetu wengi wanatamani wawe kama wazungu, naamini na nitaendelea kuhamini kuwa Africa tutaifikia Ulaya katika nyanja kuu zote za uchumi..lakini si Africa hii ya kina Nkurunzinza, Shain, Mugabe etc