Mzumbe University hamjielewi, badilikeni

Mzumbe University hamjielewi, badilikeni

Mwambie aweke wazi hatua zote alizopitia kijana wake tangu aanze first year!

Kuna kipindi baadhi ya kozi wanakuwa nyumbani ambao hawaku join second semester moja kwa moja.

Hawa hurudi baadaye wakati wengine wakiwa likizo ya July-Oct.

Hichi ndicho kipindi ambacho nao husoma. Hivyo hutakiwa kuendelea na second year hapo hapo hivyo hupewa likizo ya wiki 1

kwan aliyeanzisha hchoo chuoo badoo yupoo,mbna ratba zenu za kidudu mutu sanah nyie
 
Mzumbe ina utaratibu wa likizo moja ndefu sana baada ya kumaliza semester ya kwanza kwa sababu wanafunz wengu venue chache.. so chuo hakina uwezo kuwaacomodate wanafunzi wote kwa pamoja so inabid wapisha... sasa kuna semester waita stagard ndo hiyo mwanao kaimaliza baada ya hapo ili kuwahi semester mpya likizo uwa ni wik 2 maxmum... mwanafunzi anarud na kuingia mwaka wa pili ili awahi kalenda, so sio ajabu mzumbe ni chuo makini na weled mkubwa sana tuliobahatika kusoma pale tunajivunia
kwann wasiongeze au kupanua chuo,kisa venue chache ndoo ratba inakuwa majanga kiasi hichoo loohh
 
inahitaji umwehu kutetea ujinga huu wa mzumbe.

yaani likizo ya kubadili mwaka ni siku saba? matokeo hayajatoka usharudi na kuanza kusoma? this is more tha silly.

lazima ujivike umwehu wa kiwango cha hali ya juu kama wewe kuweza kutetea upuuzi huu.
muhame hchoo chuoo hamna kitu hukoo
 
kwann wasiongeze au kupanua chuo,kisa venue chache ndoo ratba inakuwa majanga kiasi hichoo loohh

Mzee kile chuo n cha serikali... mambo ya serikali unayajua vzuri kama umeishi tanzania... wana mpango wa kuongeza tcu inawapelekea wanafunz wengi wangewakataa?
 
muhame hchoo chuoo hamna kitu hukoo
hicho chuo siyo cha mama yako, hata KIKWETE HANA MAMLAKA YA KUMWAMBIA MTU AHAME CHUO, KWANI WEWE UNA HISA KWENYE CHUO HICHO?

watu kama wewe mmejaa ujinga unaovuka kiwango cha mpumbav.

hicho chuo ni mali ya serikali na hela yote ya chuo ni mali ya watanzania na hao viongozi wote wanaopanga ujinga ujinga hapo chuo wanalipwa mishara na watanzania.

we have the right to speak this.

lazima kila kitu kiwe kwenye utaratibu.

kingekuwa ni chuo cha mama yako wala usingesikia ninalalamika hapa maana hiyo ingekuwa ni mali yenu na cha zaidi nisingekuja.
 
Binafsi nimekaa kimya kwa sababu sioni cha kukujibu ingali nliuliza swali...je alivyokaa nyumbani miezi mi3 ulikuja humu kuuliza au unakurupuka tuu kuhoji likizo ya wiki 1...kwa uelewa wangu inaonyesha unampenda sana mwanao ukae nae nyumbani...

nimesema kuna watu ni zaidi ya wajinga na elimu yao haijawahi kuwasaidia.
viongozi wajinga ama wanaowaza kijinga kama wewe ndio mnapaswa kukaa nyumbani kwenu muache watu makini waje kutumikia watanzania.

hicho chuo kinahudumiwa kwa pesa ya walipa kodi.

kama waliopewa dhamana ya kukiongoza ni mambulula wao ndio wakae pembeni.


hapa ukitaka kila mtu asuse maana utataka na kodi wasuse kulipa, sasa hapo mtaendesha chuo? hiyo si mali yako wala ya ukoo wenu, hiyo ni mali ya watanzania.
 
kwani instruction fee ni non-refundable? i dont think. labda muda utakaoupoteza. lakini kila chuo na utaratibu wake. kama unapelekea smooth studying, it is good to proceed
 
watu walipewa likizo miezi mitano
mbona mnajikanganya kwa sababu kuna wengine mnasema miezi mitano wengine mitatu??.......lakin kwa upande wa kijana wangu alikuwa nyumbani kuanzia february hadi june...
 
Mi nawashangaa sana eti kijana mpaka anafika umri wa kwenda chuo kikuu anapelekwa na mzazi wake. Huku ni kumfanya kijana asiweze kuwa independent. Waacheni vijana wajifunze kuwa independent maishani, huku kuwalea lea kama kuku wa kisasa ndo tunawaharibu vijana wanakosa kujiamini katika maisha.
 
Ubora wa Chuo si muda ambao mtu anatumia kukaa likizo before kubadili mwaka, kuna things za kukonsider, lakini waTAnzania badala ya kuargue vitu vya msingi mnakaa kukomplain about one week Holiday, basi kama mnataka likizo ndefu between kushift from first year to second year, ukimaliza first year postpone ukae nyumbani mpaka usikie raha afu ndo urudi uanze second year,

Chuo unaenda kupata knowledge, skills na also boosting your levels of endurance in high pressure situations, chuo kinainfluence part of your character in your career, i dont see a big issue in this, because Mzumbe system yake ipo hivo miaka nenda miaka rudi, ungekua umefanya thorough research about chuo ungejua about the system na kama unaona haikufai basi hauendi,

Watanzania tupunguze kulalamika na tutafte njia za kusolve matatizo yanayotukumba, system ukiona haifai unatafuta alternative solution alafu unapresent your complains na alternative solution.

NAWASILISHA
 
Hhaaaaaa but likizo ndefu sana daaah m cjui nitaenda wap hyo likizo⅔
 
Mzee kile chuo n cha serikali... mambo ya serikali unayajua vzuri kama umeishi tanzania... wana mpango wa kuongeza tcu inawapelekea wanafunz wengi wangewakataa?

kwahyoo tuwalaumu serikali c ndyoo,ok tuwalaumu wao
 
hicho chuo siyo cha mama yako, hata KIKWETE HANA MAMLAKA YA KUMWAMBIA MTU AHAME CHUO, KWANI WEWE UNA HISA KWENYE CHUO HICHO?

watu kama wewe mmejaa ujinga unaovuka kiwango cha mpumbav.

hicho chuo ni mali ya serikali na hela yote ya chuo ni mali ya watanzania na hao viongozi wote wanaopanga ujinga ujinga hapo chuo wanalipwa mishara na watanzania.

we have the right to speak this.

lazima kila kitu kiwe kwenye utaratibu.

kingekuwa ni chuo cha mama yako wala usingesikia ninalalamika hapa maana hiyo ingekuwa ni mali yenu na cha zaidi nisingekuja.
kwahyoo nielewe kuwa umekuwa mbishi kuchukua maoni yangu si ndyoo,sasa ngoja nikushushe mshipa,nenda kasome HAVARD UNIVERSITY UKO MAREKANI,ila andaa milioni 100 za registration
 
Back
Top Bottom