Mkulu p
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 630
- 219
beefwitted
Askari mdomo...
beefwitted
nilikuwa naheshimu mzumbe enzi ya IDM, sasa hivi daah! imebaki story
kila aliye mjinga atatukuza fedha kuwa ndio kila kitu.
mwelevu yeyote anatukuza hakili na maarifa.
hapa ndio tofauti yangu mimi na wewe.
mwenye akili amekufanya mtumwa wa fedha alafu yeye akajikita kuumiza ubongo na kutengeneza civilization kwa kila kitu kutumia maarifa na akili alafu mazao yoyote ya akili na maarifa ndio yanaleta fedha inayotukuzwa kwanza na watu wa aina yako. hata hiyo fedha ililetwa na akili na maarifa ya watu. bila maarifa ya watu leo hata hiyo fedha isingekuwepo kabisa.
ndio maana hata hao waliondelea kama marekani wanatafuta watu wenye akili kokote duniani wawasaidie kufanya lolote walitakalo na baada ya hapo fedha inakuja yenyewe.
ndio maana huwezi kusikia marekani inatafuta fedha kila mahali duniani, ni wajinga tu kama wewe na mkuu wa kaya mnaweza kuzunguka kila kona ya dunia kutafuta fedha kwa ujuha wenu. welevu watazunguka hata dunia nzima kutafuta maarifa ama wenye akili.
welevu wanasema kila kitu ni akili na maarifa.
kwa wajinga kila kitu ni fedha
Tulia mzazi kwani Mzumbe ni chuo makini sana Tanzania, wewe fanya process zote then kila jambo litaenda vizuri na kama mwanao alikuwa anacheza kombelela chuo basi ajiandae kwa vilio pia.
Tulia mzazi kwani Mzumbe ni chuo makini sana Tanzania, wewe fanya process zote then kila jambo litaenda vizuri na kama mwanao alikuwa anacheza kombelela chuo basi ajiandae kwa vilio pia.