AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Huyu mzazi anayeponda mzumbe huenda ana akili moja na mwanae inshort mzazi na mwanae ni wadekaji sana wamezoea kuishi kimama tena akili zao no chips yai.
ndio maana nimekwambia kiwango chako cha ujinga kinavuka kiwango cha mpumbavuu, havard ni mali ya watanzania? havard hainihusu kama ambavyo wewe hunihusu, ila mzumbe inanihusu.kwahyoo nielewe kuwa umekuwa mbishi kuchukua maoni yangu si ndyoo,sasa ngoja nikushushe mshipa,nenda kasome HAVARD UNIVERSITY UKO MAREKANI,ila andaa milioni 100 za registration
tunataka civilization (ustaarabu) kuendesha mambo yetu, ukiwa na fikra za kijinga kama hivi ujue wewe ni moja ya sababu kwa nini sisi hatujaendelea. watu wanajadii na kuweka taratibu nzuri na rafiki wewe unaleta tongotongo zako hapaHuyu mzazi anayeponda mzumbe huenda ana akili moja na mwanae inshort mzazi na mwanae ni wadekaji sana wamezoea kuishi kimama tena akili zao no chips yai.
Huo mkataba upo kwenye maelezo ya TCU wakati mtu anaomba ajue nini kinafanyika hapo chuoni? ama upo kwenye fomu za kuomba kuchaguliwa? sasa mtu alishaguliwa then unataka achague chuo this time ambapo hakuna intake inayoendelea, THINK CRITICALLY.Mzumbe kama taasisi nyingine haikosi kuwa na changamoto so ni vema kujipanga na kukabiliana nazo kwa mfano kwenye swala la stagered semester mwanafunzi huwa anaambiwa kabisa kuwa atakuwa na hiyo semester na kuna mkAtaba wa kukubali au kukataa na kuamua kujiunga na chuo kingine wanafunzi wengi wanaoomba MU huwa wanajua hili na kama hawajui wanakosea kwani wanapaswa kufanya utafiti wa nchi unayoiendea.
usimung'unye maneno, huu utaratibu hupaswi kuita changamoto baali ni utaratibu usiofaa kabisa na unapaswa kukoma mara moja.Kuhusu mwanafunzi kuanza kusoma kabla ya matokeo ni changamoto ambayo kijana wako na wewe kama mdau unaweza kushauri nini kifanyike kwani ilikuwa changamoto hata kwetu pia ila wiki chache baadae matokeo yanatoka na kuna baadhi hungoja mpaka yatoke ndio wanakuja chuo japo sio vema.
hizi ni hoja nyepesi na za kitoto, ni nani alikudanganya kuwa watu wachache wakichagua wanachagua kiongozi dhaifu?hivi kama wagombea ni bora ina maana ubora wao utapotea mara tu baada ya uchaguzi kisa waliomchagua ni wachache?think twice.Swala la ask me nasi tulikabiliana nalo na mara nyingi huandaliwa na serikali ya wanafunzi ambapo mzumbe mara nyingi imekuwa ikikabiliwa na uongozi dhaifu sana katika serikali za wanafunzi na mara nyingi huchagua viongozi dhaifu sana na wasio jali wanafunzi kwani viongozi hawa huchaguliwa na wanafunzi wachache sana kwa hiyo kijana wako kama anapenda siasa anaweza kushiriki kuamsha wengine kupata viongozi bora wa MUSO.
Malazi kwa sasa yameboreshwa kwani kwa hapo MU first wote hupewa kipaumbele sana kwa mwaka mzima na kwa wa pili pia na kwa wa tatu wasichana wote hupewa kipaumbele sana mapungufu mengine yatamsaidia kijana wako kujua chuo sio nyumbani na atajifunza mengine mengi zaidi ya masomo.
uhurumoja
Huo mkataba upo kwenye maelezo ya TCU wakati mtu anaomba ajue nini kinafanyika hapo chuoni? ama upo kwenye fomu za kuomba kuchaguliwa? sasa mtu alishaguliwa then unataka achague chuo this time ambapo hakuna intake inayoendelea, THINK CRITICALLY.
swala la changamoto hata kama lipo hatukatai ila tunakataa maamuzi ya kijinga kuhusu hizo changamoto. kwani ni mzumbe pekee ina changamato? kila sehemu kuna changamoto hata huko kwenye taratibu nzuri kuna changamoto pia.
[MENTION]Semester hii ilibuniwa baada ya serikali kupitia mbunge wakawaida anayejua kusoma na kuandika alipopendekeza mzumbe iongezewe wanafunzi miaka ya 2007 kama sikosei chuo hakikuwa na jinsi chini ya prof kuzilwa kikaja na hiyo system ambapo mwanafunzi huwa na likizo ndefu na fupi sana na pia huwa na field ndefu sana ambayo wanafunzi wengi huifurahia kwani baadhi imewasaidia kupata kazi au kutengeneza social network.[/MENTION]
siyo mzumbe pekee iliyoamuliwa kuongeza wanafunzi/siyo mzumbe pekee inayomuliwa kuongeza wanafunzi na wizara japo wewe unadai waziri.
mwaka 2008 nakumbuka kuwasikia maprofesa wa chuo cha SUA walipokuja shuleni kwetu kututembelea na kutuomba tujiunge na chuo chao,
moja ya mambo waliyotueleeza ni kuhusu utaratibu wa serikali kutoa maelekezo kwa vyuo kuhusu wingi wa wanafunzi wanaotakiwa kudahiliwa kila mwaka kwa kila chuo na si kwa mzumbe tu,
kote ukienda MUHAS,UDSM walishaongeza wanafunzi kwa kiwango kikubwa lakini hawakupanga kama hawa mzumbe, mimi nafikiri hao walioamua ndio walifanya maamuzi ya kijinga, kwa nini MUHAS hawakuamua hivi,kwa nini UDSM hawakuamua hivi?
usimung'unye maneno, huu utaratibu hupaswi kuita changamoto baali ni utaratibu usiofaa kabisa na unapaswa kukoma mara moja.
ni mjinga pekee anayeweza kuwaambia wanafunzi waanze masomo huku hawajui kama wamefaulu ama wamefeli,
je wale wanaosubiri mpaka waone matokeo ndipo waje wanafidia vipi lectures zilizokwishafanyika kabla hawajafika?ama na ma-lecturers hawafundishi mpaka matokeo yatoke?of which is crazy too, if the answer is yes.
this is more than silly.
hizi ni hoja nyepesi na za kitoto, ni nani alikudanganya kuwa watu wachache wakichagua wanachagua kiongozi dhaifu?hivi kama wagombea ni bora ina maana ubora wao utapotea mara tu baada ya uchaguzi kisa waliomchagua ni wachache?think twice.
sasa unashauri huyu mtoto wa huyo mzee akagombee,je atakuwaje kiongozi mzuri ama imara maana watakaomchaguaa ni wachache kwa hoja yako? ama hapa miujiza ya kuwafanya wanafunzi wengi wamchague itatoka wapi.
bila kuyumba wala kumung'unya maneno, kwa namna yoyote ile chuo kitakuwa kinahusika kusimika viongozi dhaifu na huu utakuwa ndio mkakati wa uongozi wa chuo, maana haiwezekani kama hakuna mizengwe watu makini washindwe kujitokeza kugombea na kuongoza serikali za wanafunzi hata kama wanaowachagua ni wachache.
jamaa watakuwa wanahakikisha mazoba ndo wanakuwa viongozi.
hii ndio strategy inayotumiwa na mataifa ya nje kuindesha Afrika, yanapenda kweli kuwaunga mkono viongozi mazoba na hata kuwapa kila kitu ili washinde chaguzi.
usichangae hata mkuu wa kaya anapromotiwa sana huko ng'ambo na viongozi wakuu wa mataifa maana wakija hapa mikata 17 inasainiwa huku nchi haijui kuna nini humo, alafu wanamsifia kweli na juzi walimpa mpaka tuzo huko ng'ambo, huku sisi raia tukilalamika kila uchwao kuwa tuna kiongozi mbovu kweli kuwahi kutokea lakini wao wako bussy kutaka kumpa uprof huko liko saizi kwa uzoba wake.
the administration can't exculpate from all the blames, they are apparently responsible for whatever is going on within the institution .
swala la malazi siwezi kulizungumzia maana sijawahi kulala hapo na sijui chochote.
ila nachojua mabweni hayatoshi maana hili tuliambiwa wakati tunafanya usaili. hii ndio changamoto ya kuongelea ambayo inahitaji serikali na huwezi kukilaumu chuo ama uongozi wa chuo.
[MENTION]Kifupi MU ni pagumu japo nimekuwa nikiona watu wansema sana kuhusu urahisi lakini kwa aliyepo pale atakwambia sio rahisi kabisa kimasomo kwani mda wa kawaida wa kulala ni saba usiku na kuamka ni kumi na mbili#naipenda MU na naiombea iwepo daima kwani ilitimiza ndoto yangu ya kuwa na shahada ya kwanza leo hii na diriki kusema mi ni shujaa kutoka MU hongera kuzilwa Itika Kamuzora Shumbusho Kirway na wengine wote waliofanya ndoto yangu kuwa halisi.[/MENTION]
unatumia kipimo kipi kupima ugumu wa MU? je umewahi kusoma na vyuo vingine na kuadapt system zake ili ulinganishe ugumu? maana kipimo kizuri lazima kiwe na ulinganifu sawia.
kimsingi natambua hakuna chuo kirahisi, masomo yote ni magumu kwa kila taasisi maana shule siyo rahisi kwa uzoefu wangu, hata nilipokuwa o level kwenye shule inayoonekana ni ya kula mayai lakini bado ugumu tulikutana nao kwenye masomo na mambo mengine.
ugumu wa elimu ni kila chuo ila changamoto ndio zinatofautiana.
ela baba ndo kila kitu ww,ww kakuleta nani humu ww,jielewe mwanangu ww,huna hela ndo maana unalalamika tu,umesikia lini harvad kuna mgomo kama chuo chako hchoo ww kwan kabila gani wwndio maana nimekwambia kiwango chako cha ujinga kinavuka kiwango cha mpumbavuu, havard ni mali ya watanzania? havard hainihusu kama ambavyo wewe hunihusu, ila mzumbe inanihusu.
ona umekimbilia kusema niandae milioni 100, aliyekwambia ninalalamikia gharama ni nani? ama ukitoa mil 100 ndio utaratibu unakuwa mzuri? una akili ndogo sana.
kwani mzumbe wana utaratibu mbovu kiasi hiki kisa hela?
ninajadili na wenye akili ndogo sana, ukisoma mtiririko wa majibu na hoja zangu na wachangiaji wote unaweza kujua ninaongea na watu wenye uwezo kidogo sana. sasa hapa umejibu hoja ipi?Unaandika sana tu ila huna lolote... ugumu wa masomo unatofautiana... mtu wa engneering huwez fananisha sociology.. ndo maana serikali kwa kutambua hilo wakawapa mkopo watu wa science hundred percent wengne ni tofauti... Mzumbe always the best tulomaliza pale tunaona faida za kusoma pale mtaan na makazini
ninajadili na wenye akili ndogo sana, ukisoma mtiririko wa majibu na hoja zangu na wachangiaji wote unaweza kujua ninaongea na watu wenye uwezo kidogo sana. sasa hapa umejibu hoja ipi?
hoja niliyokuwa naijibu ni hoja ya ugumu wa elimu ya MZUMBE NA SIO VITIVO. kwa ujinga wako umehamisha mada kwenda kwenye vitivo,
aliyetoa hoja hiyo hakuongelea swala la vitivo. tena ukiongelea vitivo pale mzumbe vitivo vingi si sayansi.
na kwa sababu hakuwa na hoja ya vitivo aliongelea swala la kulala ni saa saba usiku na kuamka saa kumi, sasa kwa ujinga wako unadhani hapa amesema wanaolala saa saba na kuamka saa kumi ni watu wa sayansi tu? tatizo la watu wasiojielewa na pengine sishangai sana kwa nini kila idara ina watu wasiofaa kwa sababu hawajui walifanyalo.
hata shule niliyotolea mfano sikumaanisha tofauti ya masomo, nilikuwa naongelea mazingira ya jumla ambayo wanafunzi wanakumbana nayo bila kujali wanasoma nini.
tunapozungumzia chuo tunazungumza mazingira sawia kwa wote(common stuations). hili ndilo lilikuwa swala la kwenye hoja hii.
nakumbuka wakati nasoma advance shule isiyo na umeme,na miundombinu ya maji na matatizo kibao, sasa ugumu huu haukujalisha mtu wa sayansi,mtu wa art. same stuations. kuna shule mtu akisema ni ngumu ujue wanaongelea same stuations bila kujali aina ya combination.
ndio maana nikasema shule kwa kawaida yake ni ngumu na huu ndio ukweli.
lakini tungekuwa tunaongelea ugumu wa faculty, hiyo mzumbe haina faculty ngumu kama za mambo ya sayansi pale sua,muhasi ama coet yoyote.
kila aliye mjinga atatukuza fedha kuwa ndio kila kitu.ela baba ndo kila kitu ww,ww kakuleta nani humu ww,jielewe mwanangu ww,huna hela ndo maana unalalamika tu,umesikia lini harvad kuna mgomo kama chuo chako hchoo ww kwan kabila gani ww
nimekutukana wapi?As i sayed unaandika sana tu huna chochote exptional... izi fake id zisikuchanganye ukatukana watu
nimekutukana wapi?
am talking to a tabularasa, hapo kwenye red inaonyesha na kudhihirisha kuwa naongea na mtu mjinga.
hiki ndicho kiingereza chako na elimu yako ya mzumbe unayoisifia,.
hata wakija mzumbe hapa watakana kuwa na mwanafunzi wa aina hii.
unazidiwa mpaka na watoto wa shule ya msingi wanaoweza kuandika kwa usahihi hayo maneno.
Hongera kwa kuwa mzalendo... hakika we n mtanzania tena wa kawaida tu.. ambae unanipima akili yangu kwa kujua kingereza... by the way sujawah jua kiingereza... ingawa mia katika elimu yangu... kiswahili tu sikijui vzuri! fake id zinakupa sana jeuri... #mtanzania
kama lugha hujui sawasawa lakini hapohapo unasema wewe ni bora na umefaidika na elimu ya mzumbe,ubora wako ulipaswa kuonekana kwenye hoja , lakini haujaonekana.
sikukulazimisha wala kukushauri kutumia kiingereza kuandika,
wewe ndio umeandika, sijui ulitaka kuonyesha umesoma maana kuna wengine wanadhani kuandika kiingereza ndio usomi wenyewe.
matokeo yake hata hiyo lugha huijui lakini unang'ang'ania kuitumia.
na kwa kuwa makosa ya maandishi yanaonekana hadharani umelazimika kukiri hadharani kuwa hujui kiingereza na ukaenda mbali zaidi kusema hata kiswahili pia hujui sawasawa.
swali la kujiuliza unawezaje kuwa msomi mzuri na kuchota elimu nzuri unapokuwa hujui lugha ya kufundishia?
na hapa ndio sababu uelewa wako ni mdogo maana hata ulichojifunza kuna mengi yalikuwa yanapita masikioni tu huku huelewi lakini hapa unajitia umwamba.
a unakipaj cha uandish makala... angalia usivokuwa mvivu kuandika cha ajabu hujui tofaut ya typing error na kutojua, ungesomaga Physics ungejua tofauti ya error na mistake
aliyekwambia sijui tofauti ya error na mistake ni nani?
aliyekwambia sijasoma physics ni nani?
kwenye error ya physics haiongelei kitu kinachoitwa typing error.
error za uchapaji ni tofauti kabisa na error za vipimo.
unaendelea kutaka kuonyesha wewe ni mwamba kumbe huna umwamba wowote.
kwa taarifa yako nimesoma physics o level,advance, na chuo.
fani yangu hata mpaka PHD haiwezi kutenganishwa na physics.
Physics na maelezo meng iv wap na wap napata mashaka kama ulifaulu wewe... fake id za jf hakika kila mtu msomi na anapesa
kweli naongea na bichwa maji.
kwani hapa tunajadili mada ya fizikia mpaka utake maelezo yasiwe mengi?
ama wewe umetoa theory ipi humu kupunguza wingi wa maelezo yako?
ama umeaandika kanuni ya fizikia humu badala ya maelezo?
umeuhamisha mjadala kwenda kwenye personal attack na bado umeshidwa.
sasa rudi kujibu hoja za mada husika.
achana na mambo ya physics,mara sayansi mara engineering.
ukitaka kunijua kwenye masomo hayo anzisha mada kwenye jukwaa la sayansi tuchangie, na hata huko unaweza kuonekana bado ni mbulula
We maneno meng tu kujihakiki... ila hamna kitu asee... fake id hizi zinakupeleka sana