Mzumbe univ. Kufuata nyayo za udom, muhimbili..? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzumbe univ. Kufuata nyayo za udom, muhimbili..?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mporipori, Dec 17, 2010.

 1. Mporipori

  Mporipori Member

  #1
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaam wana JF.,

  Yamepita ya UDOM na MUHIMBILI Univ. kumtununuku udokta mkwere., Mzumbe University ndio wanafanya mahafali leo., Tutarajie nini kutoka kwao ukizingatia kuwa ni chuo maswahiba wa si si em.. je mkwere ndio anaenda kupata udokta wa nne..?
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ah WAPI kuna watu wamepinda kule huwa hawa entartain upupu!
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,819
  Likes Received: 10,108
  Trophy Points: 280
  Kama vile hawa wana akili kidogo...but sijui lolote laweza tokea pengine na wao wameahidiwa V8! Na ugoro mwingine..yaani mtu unamuona na kumwamini kuwa zimo kesho unakuta kafanya upupu mtupu kama yule prof wa udsm aliemtungia nanihii kitabu cha maisha
   
 4. baha

  baha Member

  #4
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  It is not about how majority of us would love to see but what top office bearers of our universities consider to be the most important task for their own destiny. It is, however, very easy for us outside the scenes to say anything for good but things might be more devastating to our senior academicians. Consider the differences persisting in terms of compensation packages between professors currently teaching and those currently indulging in politics. The same title with extraordinarily different pay in these two playing fields. It is now just applying the "personal theory" and not relying on "logical theory" that can show us why they happen to do it the way we see them doing (I mean MUHAS, UDOM, etc). The challenge remains, what should the elite do to see to it that politics does not dominate professional careers when it comes to pay? In my own view, it is until when this is resolved then we have Independent intelectual brains that do not seek all way along getting affliated to politicians to secure their desired living.
  I submit.
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!akachukue tu degree yake ya heshima ya uchakachuaji wa matokeo ya uchaguzi!!
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280

  Alieanzisha hii Thread ameiwasilisha kwa kiswahili sasa wewe mwenzetu lugha ya kimatumbi unaona haina thamani? hivi hii tabia ya watanzania kujifanya wazungu itaisha lini? au ndio usomi! na kama kuongea/ kuandika kingereza ndio usomi, basi kule kenya wote ni wasomi, maana mpaka machizi wanaongea kingereza.
   
 7. K

  Kaisikii Member

  #7
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama wanasifia kazi nzuri anazozifanya wacha wampee hata uprofessa
   
 8. S

  Siao Member

  #8
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 4, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  udom na Muhimbili walichemsha basi tu..ukiwaona pale walivyovaa hayo mavazi utadhani hivyo vichwa vina kitu...
  mkwere naye bila aibu... ukijua wanatakata kukupa kukupima wewe ukiwa na akili si unakataa?? aa!! Sasa vyuo vingine vinajisikia vibaya, mwakani utasikia na jinsi vyuo ni kama utitiri sasa... atapewa mpaka atebeba kikapu... hiyo ndi tz!! Sisi elimu haitusaidii kabisa...
   
 9. Mporipori

  Mporipori Member

  #9
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Ungeona vichwa wenyewe wanavyopata shida kusoma mpaka kuupata huo udokta (PHD) hakika ungepata hasira na hizi easy phd anazopewa mkwere kwa kazi ambazo hatuzioni....
   
 10. baha

  baha Member

  #10
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Language is a mere simple means of communication no matter what! You are the immediate witness for this truth as you were able to understand what I wrote and decided to react to it! You would have been a benefactor to us if you only decided to embark on the topic at hand than positioning yourself as pro-swahili activist, which is of the least concern here. Anyway, you are one of the great thinkers we have happened to have here!
   
 11. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280

  Tatizo lako unafikiri wote wanaochangia humu kiswahili kinapanda!! Watu wana background tofauti. Kuna watu humu hawakusoma kiswahili tangu darasa la kwanza kama wewe na mimi. Sasa sijui hasira za nini kama wanatumia kingereza.
   
 12. baha

  baha Member

  #12
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Big up great thinker! I was about to write him/her the same substance. One should be reminded, however, that this is a forum attracting internationals across the globe! This only fact waives the necessity for everybody using only and only swahili in contributing here.
   
 13. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Poa poa wasikusumbue waliosoma "under ze mango tree", watu wa pwani

  Kuhusu hizo PhD za kumwaga msisumbuke maana hata ukipewa degree 100 kama hamnazo hazipo
   
 14. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Wanangu mnaiacha hoja katopic kanofu hela
   
 15. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ninge mshauri UDSM na vyuo vingine wasipo mpa "udokita" awafukuze wakuu wa vyuo ambao amewateua mara moja hahahahahaha
   
Loading...