Mzumbe Secondary Alumni

Mzumbe Secondary Alumni

Mzumbe Secondary Alumni ni umoja unaowaunganisha watu wote waliosoma shule ya secondari Mzumbe tangu ilipoanzishwa.

Lengo la thread hii ni kupost matukio mbalimbali yanayohusu shughuli za alumni hii.

Kuchangia shughuli za alumni tumia akaunti hii,
Account name: MZUMBE SECONDARY SCHOOL ALUMNI
Account number: 10100705678
BANK: Akiba Commercial Bank
SWIFT Code: AKCOTZTZ

NOTE: You can also transfer money to the bank account using MPESA/Tigo Pesa/Airtel Money.

Karibuni tuonyeshe uzalendo kwa vitendo...


Hongereni sana wakuu,
nitupieni kapicha kamoja ka hapo bwenini kwangu( mkwawa no.1) kijiji
 
Hongereni sana wakuu,
nitupieni kapicha kamoja ka hapo bwenini kwangu( mkwawa no.1) kijiji

Kijiji chako Mkwawa kiko kwenye hali mbaya.

Tunaunganisha nguvu za wazumbe wote tuboreshe mazingira.

Karibu tuijenge Mzumbe yetu.
Tujivunie Mzumbe kwa vitendo...
 
Hongereni sana, huu ni mfano wa kuigwa.

Kutoka kuwa walalamikaji na kuwa waleta masuluhisho ya matatizo yaliyopo, hii ndio njia ya kwenda.

Nimehamasika, nami nitacopy na kupaste hiki mlichofanya kwenye shule ya kijijini kwangu bila kuwa na nia ya kupata kitu in return kama wanafiki wengi wanaofanya haya kwa show tu za kutafutia ubunge au udiwani.

Hongereni sana

Asante sana kwa kututia moyo na kuendeleza uzalendo kwa vitendo...
 

Attachments

  • 1433249961614.jpg
    1433249961614.jpg
    22.3 KB · Views: 378
Last edited by a moderator:
Interior Before and After...
 

Attachments

  • 1433250731730.jpg
    1433250731730.jpg
    27 KB · Views: 323
  • 1433250750715.jpg
    1433250750715.jpg
    50.4 KB · Views: 321
I miss my School.

Awali ya yote naomba nijikumbushe mambo machache.

Nimepamiss Mirambo3, njia ya kuelekea kwenye chapati.
Ha haaaa.

Nimemiss debe la M.Z.U.D.A.X.
Mzukila na Mzumoro mimi zilikuwa hazinifurahishi kabisa.

Mi nilikuwa mdau wa Mzudax. Kama kuna mtu alikuwa mdau wa Mzudax naomba nimjue.
 
dah bg up sana..bweni langu lilikuwa karume no. 6 kpnd hcho njawa kashka gobole vp mpo tuliolmalza "A level 2010 ''?
 
I miss my School.

Awali ya yote naomba nijikumbushe mambo machache.

Nimepamiss Mirambo3, njia ya kuelekea kwenye chapati.
Ha haaaa.

Nimemiss debe la M.Z.U.D.A.X.
Mzukila na Mzumoro mimi zilikuwa hazinifurahishi kabisa.

Mi nilikuwa mdau wa Mzudax. Kama kuna mtu alikuwa mdau wa Mzudax naomba nimjue.

teh teh teh...yule dada mwenye ulemavu wa mguu? mnankumbusha mbali sana
 
teh teh teh...yule dada mwenye ulemavu wa mguu? mnankumbusha mbali sana


Dàaaaaah!

Hapo umenena mkuu, kwa kweli kila mtu na starehe yake!!!!
Kumbe na wewe ulikuwepo?

Yule dada alinigusa sana, ni mlemavu lakini aliingia disco, nilimuonea huruma sana ile siku, lakini nilifurahi sana kumuona MwanaMzumbe mmoja akaenda kucheza nae, na akawa anampa company uzuri tu, kwa kweli ilileta faraja sana.

Wale mabinti wa Dax walikuwa W.A.N.A.N.G.'A.A.A.A, Kilakala hawaoni ndani.
Social Prefect wa Dax utampenda, yule mdada, alikuwa anasema Mzumbe Piga Keleleeeeeeeeeeeeeeeh!
Basi Wazumbe utaskia, Oooooyoooooooooooh, Ilikuwa ni patashika.
 
Back
Top Bottom