Hamna wewe ile swala ni sayari nyinyine.
![]()
Hapo tukiwa college, kushoto kabisa ni mimi watu8, halafu anayefuata ni MziziMkavu,halafu Bujibuji huyu alianza kuvaa makapelo tokea kitambo sana mwisho kabisa ni saudari
kwa hali lazima wote mlidundika kama sio kudisco
umesema hayo kwa kuangalia....???
Mpwa nimesema hayo kwa kuangalia miondoko na mavzai hahahhahaaaaaaaa I was just kidding Bhana dont take serious
Ha ha ha!!! mpwa hata usijali nilikua nataka unifundishe utaalamu wa kusoma picha ujue....
Hapo anajiona yupo na pikapu.
![]()
Hapo tukiwa college, kushoto kabisa ni mimi watu8, halafu anayefuata ni MziziMkavu,halafu Bujibuji huyu alianza kuvaa makapelo tokea kitambo sana mwisho kabisa ni saudari
MziziMkavu alikuwa anatishia pale college na hayo madevu, Mbuzi Mzee alikuwa anapenda kuvaa kaptura, nadhani primary ili mharibu, watu8 na Bujibuji walikuwa wanajidai mapacha, wakipiga miwani ni wote.![]()
Hapo tukiwa college, kushoto kabisa ni mimi watu8, halafu anayefuata ni MziziMkavu,halafu Bujibuji huyu alianza kuvaa makapelo tokea kitambo sana mwisho kabisa ni saudari
![]()
hapo tukiwa college, kushoto kabisa ni mimi watu8, halafu anayefuata ni mzizimkavu,halafu bujibuji huyu alianza kuvaa makapelo tokea kitambo sana mwisho kabisa ni saudari
Halafu katawala barabara utafikiri na yeye anaendesha gari